Aisee machawa wanakula kwa taabu sana

Aisee machawa wanakula kwa taabu sana

Kazi ipo kwa machawa. Hio kazi acha kabisa. Niko ofisi flani, kuna mmoja wetu nichawa promax kila akiingia kazin lazima afike kwa boss angalau dakika kadhaa.
NB.Hio kitu inahitaji moyo si mchezo mchezo.
 
Usichokijua kuwa chawa ni sawa na kuuza uhuru wako na muda wako.
Muda unaotaka wewe kufanya mambo yako boss atakuhitaji, huu ni ujinga na manyanyaso tu.
 
Kazi ipo kwa machawa. Hio kazi acha kabisa. Niko ofisi flani, kuna mmoja wetu nichawa promax kila akiingia kazin lazima afike kwa boss angalau dakika kadhaa.
NB.Hio kitu inahitaji moyo si mchezo mchezo.
Kuna wakati bosi anakuona kama zezeta lake lakini inabidi ukomae hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom