kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na dharau kwa upande wa pili (hamisa) na kashajidhihirisha kabisa kachagua upande, hofu yangu ni kuwa je anauhakika na anachokifanya asa iv maana tyar ashaanza kujenga chuki kwa mtt wa hamisa na mama je siku moja mtt akikua na kusimuliwa itakuwaje, kitu kingne hakuna aijuaye kesho huyu anayemuona siyo kitu kisa mama ake maskini huwez jua kesho yake mambo yanabadilika, akashitukia dylan ndo anakuja kuwa ndo mkomboz wake kina tiffa anaowashobokea wakawa hawana time naye. Ushauri maisha siyo pesa tu kuna maisha nje ya pesa na mali unayemdhalau leo huwezi jua kesho yake aacha kuchagua upande na ikiwezekana apunguze vijembe maana anataka kuwa kama yeye ndo zari (mke mwenza) mama ana gubu utafikiri mtt mdogo. Mama ushakuwa mtu mzima kaa lea wajukuu zako achana na maswala ya mitandaoni kwa ushaanza kuboa sasa.
Diamond najua mnapitaga kwenye haya majukwaa mwambie mama ako mitandao inampeleka siko maana mpk anapost viben ten vyake IG anakuaibisha, mbona ma mama wa ma star wenzio hawana izi mambo. Na apunguze gubu kwa hamisa imekuwa vijembe kila siku mpk anakera sasa, ashakuwa mtu mzima ni mda wa kukaa chini na kulea wajuu maswala ya insta amwachie Esma.