Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Uhakika wa maisha teh hali yenyewe ilivo tete sahivi hadi wanaume wanadanga, akapata uhakika wa laki mbili kwa wiki ataacha kuzaaIla nae Hamisa kwenda kuzaa na mtu ambaye yupo kwenye mahusiano,sijui aliwaza nini ?Sasa familia yote ya Dai imemtenga.Ila yataisha tu.