Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Hapa tusisahau kwamba, zamani familia ya Diamond ilikuwa upande wa Hamisa! Unachotakiwa kujiuliza ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?!!

Hapo kabla Hamisa hakuwa maarufu kihivyo na ndio maana wapo wanaofikia kusema eti na LLB ya UDSM kwavile hawamfahamu vizuri!! Na kwavile umaarufu wake ulikuwa ni wa kawaida tu, mambo yake ya chinichini watu walikuwa hawayafahamu!!!

Ngoja aendelee ku-trend ndipo utakuja kufahamu kwanini wanafamilia wale wale waliokuwa wanamuunga mkono hivi sasa wamemtupa mkono!!!

Na uzuri wa Waswahili hawana mambo ya ku-pretend! Ukiwazingua; wanakuzingua!!!
Mama Diamond aligundua kila akienda kumsalimia mtoto anarekodiwa kwa siri ili Hamisa apate ushahidi wa kurudha insta. Hayo yalimchefua bi Sandra.
 
Mkwe design ya mama Dangote ni wa kuogopwa sawa,Bi Sandra huyu huyu ndie aliyemwambia Zari Kigoma hawatoi boi sasa hii Leo kajiunga na zari kumshambulia Hamisa!? Zari ajiadhari sana na huyu mama maana ni mnafiki sana na yote ayafanyayo mwanae anayajua ila kama mzazi anayafurahia badala ya kuyakemea
Wanawake tuwe makini sana na wakwe zetu
 
Mama alikua hana shida na hamisa, ndo maana hata alivojifungua walienda japo kwa siri siri, hamisa kwa upoyoyo akawaitia na shilawadu....
Ha ha ha analeta uswahili kwa waswahili
Screenshot_20171015-071733.png
Screenshot_20171015-071721.png
Screenshot_20171015-071713.png
 
Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na dharau kwa upande wa pili (hamisa) na kashajidhihirisha kabisa kachagua upande, hofu yangu ni kuwa je anauhakika na anachokifanya asa iv maana tyar ashaanza kujenga chuki kwa mtt wa hamisa na mama je siku moja mtt akikua na kusimuliwa itakuwaje, kitu kingne hakuna aijuaye kesho huyu anayemuona siyo kitu kisa mama ake maskini huwez jua kesho yake mambo yanabadilika, akashitukia dylan ndo anakuja kuwa ndo mkomboz wake kina tiffa anaowashobokea wakawa hawana time naye. Ushauri maisha siyo pesa tu kuna maisha nje ya pesa na mali unayemdhalau leo huwezi jua kesho yake aacha kuchagua upande na ikiwezekana apunguze vijembe maana anataka kuwa kama yeye ndo zari (mke mwenza) mama ana gubu utafikiri mtt mdogo. Mama ushakuwa mtu mzima kaa lea wajukuu zako achana na maswala ya mitandaoni kwa ushaanza kuboa sasa.

Diamond najua mnapitaga kwenye haya majukwaa mwambie mama ako mitandao inampeleka siko maana mpk anapost viben ten vyake IG anakuaibisha, mbona ma mama wa ma star wenzio hawana izi mambo. Na apunguze gubu kwa hamisa imekuwa vijembe kila siku mpk anakera sasa, ashakuwa mtu mzima ni mda wa kukaa chini na kulea wajuu maswala ya insta amwachie Esma.
MSHAURI HAMISA AACHE USHAMBA HALAFU WEKA PICHA AU KIJEMBE ALICHOPOST MAMA
 
Anasema haikuwa ajali walikaa na kuyapanga
Watu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
 
Una uhakika kuw shilawadu waliitwa na hamisa......huyu mama mnafiki hela za urith za ivan zinampelka puta anauza utu wake kisa mali....stupid wahead
Wewe tu ndio ambae haujui, walikua wanaenda kwa siri hamisa anawashtua shilawadu ili apostiwe insta, hata diamond nae kuna siku anataka kwenda kwa siri kuna mtu akamtonya kuwa shilawadu wameitwa akaahirisha, hivo ni vitu vya kijinga hakuna anaependa kufanyiwa acha tu apambane na hiyo familia ya tandale
 
Back
Top Bottom