Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Ila nae Hamisa kwenda kuzaa na mtu ambaye yupo kwenye mahusiano,sijui aliwaza nini ?Sasa familia yote ya Dai imemtenga.Ila yataisha tu.
Uhakika wa maisha teh hali yenyewe ilivo tete sahivi hadi wanaume wanadanga, akapata uhakika wa laki mbili kwa wiki ataacha kuzaa
 
Watu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
KWA HAMISA ANAVYOFANYA NINA UHAKIKA NI HAMISA NDIO ALIMTONGOZA DIAMOND ALIKUWA NA UWEZO WA KUKATAA
 
Watu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
Inamaana yeye na Diamond walihangaika kuzaa haikuwa ajali wala a one night stand.
 
Kuna mwanamke Wa Kuishi nae Na mwanamke Wa kupiga Mambo ..

Zari ni mwanamke Wa kuishi nae Na Mobeto ni Malaya Wa kupiga mambo sema tu kwa diamond kumpa mimba ilikuwa bahati mbaya...

Wanaume woooote tunalijua hili suala , so hatushangai yanayotokea kwa Hamisa. Ninachoweza kumshauri Hamisa yeye aachane na utoto mwingi. Yeye ni mama Wa Watoto wawili media attention aachane nazo, alee wanae.
 
Fatilia historia ya zari alafu uje upya.
 
Sasa kwa nini wamemtenga ?Au wanamwogopa Zari ?Mbona Zari kwa diamond hapindui ?Mama Naseeb nae hajui kusoma alama za nyakati.Ila ndugu wa mme ni wanafki sana hawachelewi kukugeuka.
Dili ilikuwa akae kimya wakati wana angalia upepo. Hamisa alilikoroga alivyoanza kuwarusha insta, yeye alikuwa ana fight mwanae awe recognised kama Tiffa na Nillan
 
Sio kweli juzi tu hamisa kajifungua walikua nae, yeye tu kaharibu na uswazi wake ukizingatia mama diamond anavompenda kijana wake
Evelyn Salt kwa awam hii mama mond namtetea yule mtoto hamisa ni mpumbavu huwezi kutaka kushindana na main chik then ubaki salama, kwanza alivunja makubaliano juu ya kuficha siri halafu kuvujisha picha zile ilikua kutaka kuiharibu image ya chibu moja kwa moja.
 
Inamaana yeye na Diamond walihangaika kuzaa haikuwa ajali wala a one night stand.
Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
 
Kitu kingine mfaham diamond anampenda zari hilo liko wazi kabisa.
 
Sasa kwa nini wamemtenga ?Au wanamwogopa Zari ?Mbona Zari kwa diamond hapindui ?Mama Naseeb nae hajui kusoma alama za nyakati.Ila ndugu wa mme ni wanafki sana hawachelewi kukugeuka.
Ogopa sana ndugu wa mume, Mimi nilivyomtifua mama mkwe wangu humu nilionekana nna langu ila ogopa mnoo ni mama diamond huyo huyo ndie aliyekua hampendi zari na kumtupia maneno ya vijembe kila wakati lakini Leo kageuka
 
Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
Siri ya mtungi aijuae kata, mbona show ya Jana Zenj Zari hakuwepo?
 
Kwani Diamond alitamka kua ulikua ajali? Mbona wenyewe wamejielezea vizuri sana ila kinachowauma ma Dada wengi wa kibongo ni kuona zile raha na starehe anazopata zari hazimpati hamisa, basi ndio tunazidi kuchonganisha ila vijiroho mbaya si vizuri
Wadada wa bongo hamna jema afadhali kama unalijua , kati ya wapiga kelele wote akiwapo mange ni nani atatongozwa na mond akatae? Main chick zari atabakia kua main chick na hamisa atabaki side chick
 
Kuna mwanamke Wa Kuishi nae Na mwanamke Wa kupiga Mambo ..

Zari ni mwanamke Wa kuishi nae Na Mobeto ni Malaya Wa kupiga mambo sema tu kwa diamond kumpa mimba ilikuwa bahati mbaya...

Wanaume woooote tunalijua hili suala , so hatushangai yanayotokea kwa Hamisa. Ninachoweza kumshauri Hamisa yeye aachane na utoto mwingi. Yeye ni mama Wa Watoto wawili media attention aachane nazo, alee wanae.
[emoji1] [emoji1] hivi Daudi unamshikiaga Diamond mboo yake mpaka ukajua ni bahati mbaya
 
Yawezekana ushauri wako ukawa mzuri ila uandishi wako haumshawishi msomaji kuendelea kusoma ulichoandika. Huzingatii sana alama za uandishi.
 
Back
Top Bottom