Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na dharau kwa upande wa pili (hamisa) na kashajidhihirisha kabisa kachagua upande, hofu yangu ni kuwa je anauhakika na anachokifanya asa iv maana tyar ashaanza kujenga chuki kwa mtt wa hamisa na mama je siku moja mtt akikua na kusimuliwa itakuwaje, kitu kingne hakuna aijuaye kesho huyu anayemuona siyo kitu kisa mama ake maskini huwez jua kesho yake mambo yanabadilika, akashitukia dylan ndo anakuja kuwa ndo mkomboz wake kina tiffa anaowashobokea wakawa hawana time naye. Ushauri maisha siyo pesa tu kuna maisha nje ya pesa na mali unayemdhalau leo huwezi jua kesho yake aacha kuchagua upande na ikiwezekana apunguze vijembe maana anataka kuwa kama yeye ndo zari (mke mwenza) mama ana gubu utafikiri mtt mdogo. Mama ushakuwa mtu mzima kaa lea wajukuu zako achana na maswala ya mitandaoni kwa ushaanza kuboa sasa.

Diamond najua mnapitaga kwenye haya majukwaa mwambie mama ako mitandao inampeleka siko maana mpk anapost viben ten vyake IG anakuaibisha, mbona ma mama wa ma star wenzio hawana izi mambo. Na apunguze gubu kwa hamisa imekuwa vijembe kila siku mpk anakera sasa, ashakuwa mtu mzima ni mda wa kukaa chini na kulea wajuu maswala ya insta amwachie Esma.
 
Kwa màma dangote yupo jf? ID Yale plz..
 
Huwezi kumlazimisha Mama ampende mke wako... vivyo hivyo kwa mke wako....hiyo ni kawaida tu.
 
Hapa tusisahau kwamba, zamani familia ya Diamond ilikuwa upande wa Hamisa! Unachotakiwa kujiuliza ni kwanini hivi sasa wamemgeuka?!!

Hapo kabla Hamisa hakuwa maarufu kihivyo na ndio maana wapo wanaofikia kusema eti na LLB ya UDSM kwavile hawamfahamu vizuri!! Na kwavile umaarufu wake ulikuwa ni wa kawaida tu, mambo yake ya chinichini watu walikuwa hawayafahamu!!!

Ngoja aendelee ku-trend ndipo utakuja kufahamu kwanini wanafamilia wale wale waliokuwa wanamuunga mkono hivi sasa wamemtupa mkono!!!

Na uzuri wa Waswahili hawana mambo ya ku-pretend! Ukiwazingua; wanakuzingua!!!
 
Kama mama mzazi hakuna ulazima wa kupick side hata kama but usioneshe sasa mpk na watu tukajua upo upande gani.....to be honest anaboa.
 
Kama mama mzazi hakuna ulazima wa kupick side hata kama but usioneshe sasa mpk na watu tukajua upo upande gani.....to be honest anaboa.
Ndo maana nimehoji; hapa katikati kimetokea nini hadi hivi sasa wamtupe mkono?! Hapo kabla walikuwa wame-pick side hivi hivi! Haikuwa siri kwamba walikuwa upande wa Hamisa na sio Zari. Kuna siku Mama Dangote alikula mvua ya matusi Instagram kwa ajili ya Zari!!!! Sasa kwanini leo wamemgeuka?!

Kuna nini nyuma ya pazia?! Tena akina bibi wanavyopenda mkwe mwanamke ambae ndo kwanza amejifungua; tena mtoto wa kiume!!!

Hapa tunapaswa kujiuliza! Yale yote ambayo Hamisa alikuwa anayaanika Instagram; mengine mangapi alikuwa anayafanya chinichini kwa staili yao wanawake?! Mkwe anaenda kumtembelea hospitali; yeye anaita Shilawadu; kama sio upumbavu ni nini?!

The problem; washamuona yule demu ni very stupid!!! Na tatizo ndilo nililosema hapo kabla! Mswahili ukimzingua; na yeye anakuzingua tu na wala hana muda wa ku-pretend!!! Na ndio maana hata wakati ule nilishasema hapa kwamba endapo Hamisa angekuwa na akili, angekula sana mafao kutoka Dangote Family na hata ndoa anayoitaka angeipata tu!

Kufumbua na kufumbua, anaonesha picha ya kujali maslahi!!! Trust me, asilimia kubwa ya wakwe (mother-in laws) wanachukia sana wanawake wanaowaona wazi wapo kwa ajili ya kuchuma zaidi kwa kijana wao!! They're very protective; sijui ni kwa ajili ya umaskini wetu au vipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…