Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Mama Diamond aligundua kila akienda kumsalimia mtoto anarekodiwa kwa siri ili Hamisa apate ushahidi wa kurudha insta. Hayo yalimchefua bi Sandra.
 
Mkwe design ya mama Dangote ni wa kuogopwa sawa,Bi Sandra huyu huyu ndie aliyemwambia Zari Kigoma hawatoi boi sasa hii Leo kajiunga na zari kumshambulia Hamisa!? Zari ajiadhari sana na huyu mama maana ni mnafiki sana na yote ayafanyayo mwanae anayajua ila kama mzazi anayafurahia badala ya kuyakemea
Wanawake tuwe makini sana na wakwe zetu
 
MSHAURI HAMISA AACHE USHAMBA HALAFU WEKA PICHA AU KIJEMBE ALICHOPOST MAMA
 
Anasema haikuwa ajali walikaa na kuyapanga
Watu tunapngea sana na kuamini kua yetu tuyawazayo ni sahihi,yaani tunataka kumfanya diamond kua mtu asiye na hatia hivi wakati yeye ndie kaleta haya yote ,ingelikua ametulia na Zari huyo hamisa mimba angeitoa wapi?
 
Una uhakika kuw shilawadu waliitwa na hamisa......huyu mama mnafiki hela za urith za ivan zinampelka puta anauza utu wake kisa mali....stupid wahead
Wewe tu ndio ambae haujui, walikua wanaenda kwa siri hamisa anawashtua shilawadu ili apostiwe insta, hata diamond nae kuna siku anataka kwenda kwa siri kuna mtu akamtonya kuwa shilawadu wameitwa akaahirisha, hivo ni vitu vya kijinga hakuna anaependa kufanyiwa acha tu apambane na hiyo familia ya tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…