Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Acha wamfundishe watu wanazaa watoto wa nje na maisha yanasonga yeye alotaka kutoa ushahidi wa video toka kwich kwichi mimba hadi kuzaa aendelee
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunamsubiri mtoto wa taifa mwingine kutoka kwa mamaa madini, sijui ni kweli make mange kasema.
Watu wana mimba ya prezidenti wapo kimya
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunamsubiri mtoto wa taifa mwingine kutoka kwa mamaa madini, sijui ni kweli make mange kasema.
Watu wana mimba ya prezidenti wapo kimya
Zile nguo anazovaa sasa hivi mama madini ni kubwa kubwa na pana pana labda ni joto la Dar, time will tell.
 
WOTE AU WENGI WETU MWANZO TULIKUWA UPANDE WA HAMISA HATA NDUGU WA DIAMOND WOTE ILA ALIPOANZA KUWAITA WATU NA SHILAWADU KUWAPIGA PICHA KISIRI NA KUANZA KUTANGAZA KINYUME NA MAKUBALANO HAPO NDIO SHIDA ILIANZA.HATA WEWE UNGEKASIRIKA
 
Dili ilikuwa akae kimya wakati wana angalia upepo. Hamisa alilikoroga alivyoanza kuwarusha insta, yeye alikuwa ana fight mwanae awe recognised kama Tiffa na Nillan
Sasa jamani kwa nini walitaka mtoto awe siri ?Mimi naona ni bora tu ilivyojulikana.Maana hadi zari alikuwa anaandika kuwa Dully siyo mtoto wa Diamond.Hata kama ni wewe ungependa mwanao anyonywe kwenye social media kuwa hana baba mara ni wa Majizzo.
 
Haya ndiyo matatizo ya Zari na shins wa kuwa lady kwenda kuweka vitu kwenye social media
 
WOTE AU WENGI WETU MWANZO TULIKUWA UPANDE WA HAMISA HATA NDUGU WA DIAMOND WOTE ILA ALIPOANZA KUWAITA WATU NA SHILAWADU KUWAPIGA PICHA KISIRI NA KUANZA KUTANGAZA KINYUME NA MAKUBALANO HAPO NDIO SHIDA ILIANZA.HATA WEWE UNGEKASIRIKA
Una uhakika aliwaita? Au kwa kua mdomo ni Mali yako una Uhuru kuongea? Watanzania tuache vilomo lomo na ujuaji mwingi, ikumbukwe kua hawa watu walikua wakifuatiliwa na Media kwa ukaribu zaidi hivyo sio kila alalamikacho Diamond ndivyo kilivyo kwamba Diamond alivyosema ni shetani basi wote tuamini kua ni shetani! Diamond aliposema Hamisa kawaita Shilawadu basi wote tuamini huu ni wehu wa hali ya juu kwa kweli, kikubwa mama Diamond anampoteza mtoto wake yeye kama mtu mzima alitakiwa kumkanya mwanae mapema sana na si kumsapoti katika ujinga anaoufanya sasa, huyu mama hakumbuki mateso yake aliyoyapata katika malezi ya u single mother aliyomlea mwanae bila msaada wa Mzee Abdul
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunamsubiri mtoto wa taifa mwingine kutoka kwa mamaa madini, sijui ni kweli make mange kasema.
Watu wana mimba ya prezidenti wapo kimya
Akii hii nayo yaweza kua kweli [emoji1] [emoji1] maana hata la Hamisa lilianza kulopokwa na Mange, ngoja tuone tujifunze kubeba manii kwa njia ya SMS toka China
 
HATA SHEREHE JUZI KAWAITA SHILAWADU ANGALIA YOUTUBE NA WALISEMA WENYEWE,TOFAUTISHA ZARI TANGU AMEKUJA KAROPOKA CHOCHOTE
 
HATA SHEREHE JUZI KAWAITA SHILAWADU ANGALIA YOUTUBE NA WALISEMA WENYEWE,TOFAUTISHA ZARI TANGU AMEKUJA KAROPOKA CHOCHOTE
Na roho inawauma kweli kweli ! Hakutarajia kama sherehe itafanyika masikini
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunamsubiri mtoto wa taifa mwingine kutoka kwa mamaa madini, sijui ni kweli make mange kasema.
Watu wana mimba ya prezidenti wapo kimya
HaahhHaahHaahahhhqah teeenaaa
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Mama Huyu kigeu geu ana chuki mbaya mnoo wema kashamnafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…