Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

Yani utasema hamisa kadate na baba na mwana.... khaaa sio kwa mijembe ile.. kama mke mwenzie
au alidate na mzee abdul[emoji23][emoji23]

maana mama halali,hanyi kutwa madongo kama ndo kwa tabia hio ni yeye, basi ndio maana mzee abdul alimwacha
 
Ushauri wako siukamwandikie ktk page yake huko "IG"
Hayo maisha yake binafsi may be nayeye Ana akili za kitoto kma hao watoto anaowatotosha
 
Mi nashauri tu tubaki kuwa mashabiki wa WCB Mahusiano tumuachie kaka Mond Plutnumz maana kila mtu ana hisia zake!.
BBB.
 
Hili la kuita shilawadu siliamini, ivi mtu bado una uchungu unaweza kumuita soudy brown kweli?
mama diamond anafahamika ,kufatwa fatwa na paparazi ni kawaida ilihali kulishakua na minong'ono kuhusu hamisa na diamond...
Hamisa alichowakosea ni kuonyesha Their true colour....
kuonyesha kwamba alitambulika wala haikuwa siri,kwahiyo hao wcb niwanafiki wote!! wanaona aibu ndio maana wanajipendekeza sana

mm ningemshauri misa aendelee na shuguli zake za maisha... wenye shida na abdul watamtafuta wenyewe, sidhani kama anashindwa kumlisha mtoto...
watakapojiskia watamtafuta mtoto wao.
 
Acha wivu Mondi si mtoto wake na wewe zaa wako umchagulie au ndio nyie mko kundi la upinzani kwa Zari
 
Nafikir kosa kubwa ni kumshtaki mond ukifikia hatua hiyo moja kwa moja inatoa picha ya kutokuwa na uhitaj wa mapenz ya dhat ni upigaj tu sifikirii kama wakina mond walishindwa kumtunza mtoto
 
Yani utasema hamisa kadate na baba na mwana.... khaaa sio kwa mijembe ile.. kama mke mwenzie
au alidate na mzee abdul[emoji23][emoji23]

maana mama halali,hanyi kutwa madongo kama ndo kwa tabia hio ni yeye, basi ndio maana mzee abdul alimwacha
Ni shida 24/7 vijembe yule mama ni ana gubu sijawahi ona utafikiri hamisa ni mke mwenza.

Lakini za kunyapia nyapia zinadai kuwa ben 10 anayekula kwa mama ndomo alikuwa anakula kwa mama ake hamisa, so uhasama ndo umeanzia apo.
 
Ni shida 27/7 vijembe yule mama ni ana gubu sijawahi ona utafikiri hamisa mke mwenza.

Lakini za kunyapia nyapia zinadai kuwa ben 10 anayekula kwa mama ndomo alikuwa anakula kwa mama ake hamisa, so uhasama ndo umeanzia apo.
Inawezekana ,maana nasikia walikua mashoga hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeongea point tupu.
 
Anasahau hata yeye alishakua kwenye position ya Hamisa.. Maskini akipata......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…