Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Alikosea hapo hamisa sana tuMama Diamond aligundua kila akienda kumsalimia mtoto anarekodiwa kwa siri ili Hamisa apate ushahidi wa kurudha insta. Hayo yalimchefua bi Sandra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikosea hapo hamisa sana tuMama Diamond aligundua kila akienda kumsalimia mtoto anarekodiwa kwa siri ili Hamisa apate ushahidi wa kurudha insta. Hayo yalimchefua bi Sandra.
Hiyo historia ya Zari kwani Diamond haijuiFatilia historia ya zari alafu uje upya.
Mi nashauri tu tubaki kuwa mashabiki wa WCB Mahusiano tumuachie kaka Mond Plutnumz maana kila mtu ana hisia zake!.Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na dharau kwa upande wa pili (hamisa) na kashajidhihirisha kabisa kachagua upande, hofu yangu ni kuwa je anauhakika na anachokifanya asa iv maana tyar ashaanza kujenga chuki kwa mtt wa hamisa na mama je siku moja mtt akikua na kusimuliwa itakuwaje, kitu kingne hakuna aijuaye kesho huyu anayemuona siyo kitu kisa mama ake maskini huwez jua kesho yake mambo yanabadilika, akashitukia dylan ndo anakuja kuwa ndo mkomboz wake kina tiffa anaowashobokea wakawa hawana time naye. Ushauri maisha siyo pesa tu kuna maisha nje ya pesa na mali unayemdhalau leo huwezi jua kesho yake aacha kuchagua upande na ikiwezekana apunguze vijembe maana anataka kuwa kama yeye ndo zari (mke mwenza) mama ana gubu utafikiri mtt mdogo. Mama ushakuwa mtu mzima kaa lea wajukuu zako achana na maswala ya mitandaoni kwa ushaanza kuboa sasa.
Diamond najua mnapitaga kwenye haya majukwaa mwambie mama ako mitandao inampeleka siko maana mpk anapost viben ten vyake IG anakuaibisha, mbona ma mama wa ma star wenzio hawana izi mambo. Na apunguze gubu kwa hamisa imekuwa vijembe kila siku mpk anakera sasa, ashakuwa mtu mzima ni mda wa kukaa chini na kulea wajuu maswala ya insta amwachie Esma.
Hili la kuita shilawadu siliamini, ivi mtu bado una uchungu unaweza kumuita soudy brown kweli?Ndo maana nimehoji; hapa katikati kimetokea nini hadi hivi sasa wamtupe mkono?! Hapo kabla walikuwa wame-pick side hivi hivi! Haikuwa siri kwamba walikuwa upande wa Hamisa na sio Zari. Kuna siku Mama Dangote alikula mvua ya matusi Instagram kwa ajili ya Zari!!!! Sasa kwanini leo wamemgeuka?!
Kuna nini nyuma ya pazia?! Tena akina bibi wanavyopenda mkwe mwanamke ambae ndo kwanza amejifungua; tena mtoto wa kiume!!!
Hapa tunapaswa kujiuliza! Yale yote ambayo Hamisa alikuwa anayaanika Instagram; mengine mangapi alikuwa anayafanya chinichini kwa staili yao wanawake?! Mkwe anaenda kumtembelea hospitali; yeye anaita Shilawadu; kama sio upumbavu ni nini?!
The problem; washamuona yule demu ni very stupid!!! Na tatizo ndilo nililosema hapo kabla! Mswahili ukimzingua; na yeye anakuzingua tu na wala hana muda wa ku-pretend!!! Na ndio maana hata wakati ule nilishasema hapa kwamba endapo Hamisa angekuwa na akili, angekula sana mafao kutoka Dangote Family na hata ndoa anayoitaka angeipata tu!
Kufumbua na kufumbua, anaonesha picha ya kujali maslahi!!! Trust me, asilimia kubwa ya wakwe (mother-in laws) wanachukia sana wanawake wanaowaona wazi wapo kwa ajili ya kuchuma zaidi kwa kijana wao!! They're very protective; sijui ni kwa ajili ya umaskini wetu au vipi!!!
Duuh timu mpaka kwe mahusiano ya Watu....Team hamisa utawajua tuuu.
Awavulie na nnUsiishie kutuvulia kofia tu 😀😀
Anampenda yule wa southKitu kingine mfaham diamond anampenda zari hilo liko wazi kabisa.
Kama zipi izo.?Yawezekana ushauri wako ukawa mzuri ila uandishi wako haumshawishi msomaji kuendelea kusoma ulichoandika. Huzingatii sana alama za uandishi.
Evelyn Salt kwa awam hii mama mond namtetea yule mtoto hamisa ni mpumbavu huwezi kutaka kushindana na main chik then ubaki salama, kwanza alivunja makubaliano juu ya kuficha siri halafu kuvujisha picha zile ilikua kutaka kuiharibu image ya chibu moja kwa moja.
Ni shida 24/7 vijembe yule mama ni ana gubu sijawahi ona utafikiri hamisa ni mke mwenza.Yani utasema hamisa kadate na baba na mwana.... khaaa sio kwa mijembe ile.. kama mke mwenzie
au alidate na mzee abdul[emoji23][emoji23]
maana mama halali,hanyi kutwa madongo kama ndo kwa tabia hio ni yeye, basi ndio maana mzee abdul alimwacha
Sawa but dis old bitch anachosha....mzee mzima kisheti.Mi nashauri tu tubaki kuwa mashabiki wa WCB Mahusiano tumuachie kaka Mond Plutnumz maana kila mtu ana hisia zake!.
BBB.
Inawezekana ,maana nasikia walikua mashoga hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni shida 27/7 vijembe yule mama ni ana gubu sijawahi ona utafikiri hamisa mke mwenza.
Lakini za kunyapia nyapia zinadai kuwa ben 10 anayekula kwa mama ndomo alikuwa anakula kwa mama ake hamisa, so uhasama ndo umeanzia apo.
Umeongea point tupu.Hili la kuita shilawadu siliamini, ivi mtu bado una uchungu unaweza kumuita soudy brown kweli?
mama diamond anafahamika ,kufatwa fatwa na paparazi ni kawaida ilihali kulishakua na minong'ono kuhusu hamisa na diamond...
Hamisa alichowakosea ni kuonyesha Their true colour....
kuonyesha kwamba alitambulika wala haikuwa siri,kwahiyo hao wcb niwanafiki wote!! wanaona aibu ndio maana wanajipendekeza sana
mm ningemshauri misa aendelee na shuguli zake za maisha... wenye shida na abdul watamtafuta wenyewe, sidhani kama anashindwa kumlisha mtoto...
watakapojiskia watamtafuta mtoto wao.
Yule bibi mambo anayofanya ni tofauti kabisa na umri wake.Inawezekana ,maana nasikia walikua mashoga hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]