Dah!Kwa hiyo unatukoga "Sisi" tunaojipaka sabuni za Revola baada ya kutoka kuoga badala ya uturi wa Zanzibar?Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Nunez bwashe 🙃😅😅😅Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Ngoja wamkwangue kesho aanzishe uzi akiomba ujuzi wa namna ya kuandika wosia.leo mademu wote wakwako bwashee....!😂
Meku hachelewi....😂😂Ngoja wamkwangue kesho aanzishe uzi akiomba ujuzi wa namna ya kuandika wosia.
Asituambie aliagiza wa kupima!?Picha ikwapi Bwashee!
Kwamba Bwashee anapaka unyunyu wa kupima?Asituambie aliagiza wa kupima!?
Bwashee unajua hawa vijana wenye dhiki,siku zote wakiona mtu anatumia pesa zake hua wanaona anajionyesha au anachezea tu Pesa.Hahhahaha babu yangu alikua na pesa , baba alikua na pesa wakafa wote , wajomba na mama wana pesa unahisi kwangu haya ni maisha ya kubahatisha dogo 🤣 sijivunii chochote naongea uhalisia kaa kawaida tu
Ngoja achangamshwe mbongo.Kwamba Bwashee anapaka unyunyu wa kupima?
Mmeku,usilalamike unatuaibisha wapiga chombo.Yeah binti mzuri kuna pombe moja mpaka laki 7 bila kupima unachemka