Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣

Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊

Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣

Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Sijakusoma vizuri mkuu,hayo ni manukato yanayotengenezwa Zanzibar,au yanatoka nchi za nje lakini yamekufikia wewe kupitia Zanzibar...?
 
Kipicha naunga hoja ni kweli kabisa yan kule Zanzibar upende ww kunuka kikwapa yan mpaka mafuta ya nazi wameweka viungo ndani ukipakaa unanukia kama umepiga pafyumy
 
Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣

Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊

Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣

Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Ila wewe🤣🤣🤣🤣
Ukishalewa tu ndiyo basi tena....kama hivi..
 
Back
Top Bottom