Sijakusoma vizuri mkuu,hayo ni manukato yanayotengenezwa Zanzibar,au yanatoka nchi za nje lakini yamekufikia wewe kupitia Zanzibar...?Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Yeah najua bwashee 🤣 nawapenda wote ambao siwezi kuwapenda bila kuwaaudhi nawaweka ignore tu ili kudumisha upendo wangu huko walipo bila kuwauzi tu😊Bwashee unajua hawa vijana wenye dhiki,siku zote wakiona mtu anatumia pesa zake hua wanaona anajionyesha au anachezea tu Pesa.
Uhakika hapo!!Yeah binti mzuri kuna pombe moja mpaka laki 7 bila kupima unachemka
😂😂😎😎 Wikiend tunabonda tu.Usinywe pombe watakuambia unakua mwekundu halafu wewe ni mdada🤣
Ule wa buku mbili, alaf akitoka hapo anakwenda kumringishia mama shirima wa kwenye mbegeKwamba Bwashee anapaka unyunyu wa kupima?
😂😂😎😎 Wikiend tunabonda tu.
Ila wewe🤣🤣🤣🤣Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣
Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊
Kitu kikapanda ndenge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu warembo wote wanadai mangi naonekana mtamu🤣
Wewe ulisikia wapi mangi akawa mtamu bila kumwa pesa ,kitu cha Zanzibar bwashee 🤣
Yuko kwa mama shirima ana kunywa mbege kama hana akiliIla wewe🤣🤣🤣🤣
Ukishalewa tu ndiyo basi tena....kama hivi..
🐷 Ana kitambiHahahaha nipo bar natamba ila kuna toto lina makalio sio poa ila lipo na tajiri sijui nalitoaje hapo mpaka lije kwangu ila linakata jicho huku , na lijamaa linakitambi kama nguruwe 🤣
Alaaaa! ni scandal kwa Bwashe kwa kweli 😅Ule wa buku mbili, alaf akitoka hapo anakwenda kumringishia mama shirima wa kwenye mbege
Huyu ni akili za mbege tu ndo zinamtuma hivyo hakuna kitu cha laki saba hapoAlaaaa! ni scandal kwa Bwashe kwa kweli 😅
Mama shirima kaweka na kongolo la kitimoto leo bwashee?Upo sahihi Bwashee 🤣
Ni msupuuBwashee kutumbo kimenyooka shwaaa🤣 hana masingiri kabisa , anaimba tu mangi mtamu kwa kiswahili cha kenya kwa kilua🤣