Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

Ko mwanetu unanukia..!!?
 
Mgongo naulinda kwa kuzaa mabinti wazuri na sio wenye vitambi uchwa kama wewe
Linda mgongo wako hawa vipingili vimiguu vimekomaa kama chuma za reli na vitumbo vimeenda ndani kama wanao utapia mlo watu warefu hata english figure hawana tokea juu mpaka chini hawana figure yakisichana .
Halafu wanasura kama ya shangazi yao tulia tu na huyo mweupe sasa eti unamsifiaga toto lakiarabu na huku lakichagga limepigwa pasi haijulikani kiuno kipo wapi na tumbo
 
Aisee utamuua huyu mtu, 🤣🤣
 
Chupa limeamka na chai sasa 😹😹

Mifugo haijapewa dawa mwilini leo, min me kazi unayo na da Mau 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…