Aisee! Mastaa hawa 10 walishikwa mkono wakajibeba kabisa...

Ahahah "sisi madirector hatuna"
Niliangalia my number one ya Rayvanny , nikasema hv director wimbo upo wazi kama huu unashindwaje kuutendea Haki aisee , hakuna kitu kabisa mle ,ni scene ya mwisho Tu ndo ipo interesting ...... Unawapeleka watu kwenye manyasi aaaah
 
Baada ya kumfanyia figisu mpaka kaamua apumzike kimziki
Hata hivyo hayupo wa kumkuta ukimtoa domokaya. "Vee money on the truck eeeeh" kwa sauti ya Vanessa.
 
Niliangalia my number one ya Rayvanny , nikasema hv director wimbo upo wazi kama huu unashindwaje kuutendea Haki aisee , hakuna kitu kabisa mle ,ni scene ya mwisho Tu ndo ipo interesting ...... Unawapeleka watu kwenye manyasi aaaah
[emoji1787][emoji1787]sema we jamaa unakanyagia kishenzi
 
The industry daah nahreel aliongea kwa uchungu sana kwenye yale mahojiano ila naona wamemrudia wakatoa ngoma ya dangerous
 
The industry anapambana mno kuuza biti zake nje ya nchi ila sidhani kama kafanikiwa
 
The industry anapambana mno kuuza biti zake nje ya nchi ila sidhani kama kafanikiwa
Atakuwa labda anauza maana naona yeye na mkewe life lao safi.
Jana niliona S2kizzy kapost kuwa ana kambo leo na CEO wa Belaire siajua jambo gani.
 
Mabester kilichomtupa n kuachana na
Mke wake aiseee zile stress zilimfanya
Akahis kuchanganyikiwa Kama sio kupoteza dira ya muzik
 
Oh, kweli nimekumbuka. Studio uwa zinapanda na kushuka naona sasa anayevuma s2kizzy
Mambo yanabadilika Sana
Kwenye video nako Nisha alivuma Sana
Ila now Kenny ndo na hansicana ndo
Wanavuma
 
S2kizzy mwenyewe anafanya kazi sehemu moja tu siku hizi.
Uongo wa kijinga huu.

Unasema s2kizzy anafanya kazi sehemu moja tu???

Mbona mshikaji anatengeneza kazi za masela kibao tuu.. Underground na mastaa...

Unajua Jux katoa ngoma ngapi kwa s2kizzy

Ngoma za OMG kina Salmin, Mbuzi na wenzie.

Kina Country Wizzy na crew nzima ya RoofTop Ent.

Tuulize watu tulio invest kwenye online ent. platforms tukupe mienendo wa muziki wa Bongo dogo.
 
Wewe takataka, mimi nazungumzia S2kizzy wa sasa hivi wewe unaleta stori za tangu yuko Switch.

Hivi unafikiri Wasafi wamemkuta underground siyo?
 
Chidi bezi_mwasiti
Pini linaitwa hao ambalo mwasiti alimhirikisha Chidi benzi na ikawa tiketi ya mwasiti kwenda mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…