iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Pombe, stress na ulevi mwingine vilimpoteza baada ya mambo ya family kumzingua.Aisee Mabeste sijui alifail wapi maana jamaa nilikuwa nakubali sana anavyochana. Napenda sana ile Ngoma yake aliyomshirikisha tena Jux inayoitwa - Sirudi tena.
Nilikuwa napenda uandishi wake wa kuchanganya kingereza na kiswahili.
RIP Pancho Latino, jamaa alikuwa mkali ila mziki haukumlipa kwa kiasi anachostahili.
Ila yupo ameanza kuimba gospel siku hizi.