Aisee! Mastaa hawa 10 walishikwa mkono wakajibeba kabisa...

Aisee! Mastaa hawa 10 walishikwa mkono wakajibeba kabisa...

Aisee Mabeste sijui alifail wapi maana jamaa nilikuwa nakubali sana anavyochana. Napenda sana ile Ngoma yake aliyomshirikisha tena Jux inayoitwa - Sirudi tena.
Nilikuwa napenda uandishi wake wa kuchanganya kingereza na kiswahili.
RIP Pancho Latino, jamaa alikuwa mkali ila mziki haukumlipa kwa kiasi anachostahili.
Pombe, stress na ulevi mwingine vilimpoteza baada ya mambo ya family kumzingua.

Ila yupo ameanza kuimba gospel siku hizi.
 
S2kizzy mwenyewe anafanya kazi sehemu moja tu siku hizi.

Mara nyingi studio ndio zinabebwa na wasanii na ndio maana wasanii hasa wakubwa wana kiburi, studio nyingi wanarekodi bure.

Producer akiwadai pesa wanahama.

Weusi walihama The Industry wakaenda kwa Luffa.

Alikiba alihama Combination akaenda kwa Moco Genius.

Diamond alikuwa anafanya kazi na Sheddy clever, tangu ampige chini nae kapotea. Kuna kipindi alitaka kusimamia wasanii chini studio yake lakini mpaka leo bila bila.

Lamar yupo na studio yake hata haina kazi.

Kazi ya production bongo bado hailipi wala kuheshimika. Producers wanaishi kwa hisani ya msanii.

Bora hata maDJ wameanza kujiongeza.
Umeongea ukweli mtupu ambao hata wao ma producers wanaogopa kuusema ila wachache wanathubutu kuongea.
 
Back
Top Bottom