Aisee! Mastaa hawa 10 walishikwa mkono wakajibeba kabisa...

Belle 9 alichomoka mwenyewe na hit song "sumu ya penzi" nadhani 2009 and since then akawa anapandishia hit after hit, hiyo dear gambe ilikuja baadae sana
Hata hivyo huyo belli tisa yeye mwenyewe alishikwa mkono na Afande Sele baada yakuona hasikiki ingawa anakipaji ndipo akamshika mkono nakuja naye Dar
 
Na log out hii si reverse, bora peke yangu zaidi ya yule mama bas
Wapi safe place progress mitikas no stress
confidence money power..
Mi sirudi tena nikirudi ni accident, exchange rafiki job ni evidence kwangu holiday..

[emoji91] [emoji91] [emoji119][emoji119]
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Hii verse ni hatari... Ngoja nikasikilize
 
Hii era ilikuwa ya bhits yani ngoma zote kali zilikuwa from bhits. Hapo kulikuwa na wasanii wakali wote.
Maisha yanaenda kasi sana aisee ni kama vile yesterday
 
Imepokelewa vyema hii
 
Mabeste alibebewa Mke wake Lisa na Mshikaji wake kabisa ivo kupelekea kuwa very stressed ila jamaa nilikuja kumdharau baada ya kumuachia Watoto huyo mwanamke tena wanalelewa kwa huyo jamaa aliemuibia
 
Kwangu Adam Juma atabaki kuwa bora kwa wakati wote, embu cheki wimbo wa Marioo for you utajua jamaa hachuji
 
Nalog out hii syllabus,Bora peke yangu zaidi ya yule Imam abas.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…