Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True, lakn unaweza ukajifanya haupo serious but mambo yanavozid kunoga ndivo nawe unavoingia manzama.
Uongo, hakuna cha fun kwenye kubetiPlay for Fun, when fun stop, Go home 😐😐😐
Asikudanganye mtu, kinacholeta presha ni ile kiasi unachoenda kushinda wala sio stake!Exactly
Aise me kusema ukweli naona ishaingia kwenye damu especially weekend bila kubet naona sipo normal kabsa but ntaacha tu.
Acha kudanganya ummaKama huna akili usibet ,Ni kwa ajili ya genius tuu
kuna kitu ina itwa pawa 6... unawekewa mechi 6 uzitabiri matokeo sahihi kwa kila mechi..unacheza bila kuweka stake...lakini ukitabiri sahihi unapewa mzigoDuuu kapigaje bila stake mkuu
Yap sikuzote kwenye kubet haumii Kwa kile unachoweka kinauma kile unachoenda kukosa mfano mm niliweka elfu 23 kilichoniumiza ni kukosa Ile 6m sio Ile niliyoweka.Asikudanganye mtu, kinacholeta presha ni ile kiasi unachoenda kushinda wala sio stake!
Unaweza weka mkeka wa m3,4 nk kwa sh 500 ukawa na presha kubwa kuliko anaeenda kupoteza stake- 5k kwa 6k/7
Sijui kama nimesomeka