Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo italiwa yote na fidia juu!!kuna mpuuzi huku kapiga milioni tatu...bila kuweka stake yeyote..hii dunia kweli kuna wenye bahati zao
Ni kweli kabisa, Mungu mwenyewe toka aumbe mbingu na dunia, hajawahi kupumzika; muda wote yuko macho kuangalia viumbe wake (duniani na mbinguni) wanaenenda vyema. Tunaposema Mungu alipumzika siku ya saba, hii ilimaanisha alipumzika kuumba na siyo kuacha kuangalia mienendo ya dunia na mbingu.Hakuna kupumzika mpaka kaburini
Safi sana kama umeshalitambua hilo najua dawa yake umeishaijua piaYap sikuzote kwenye kubet haumii Kwa kile unachoweka kinauma kile unachoenda kukosa mfano mm niliweka elfu 23 kilichoniumiza ni kukosa Ile 6m sio Ile niliyoweka.
Daaa afu hiyo naiskiaga ila cjawahi jaribu,,ivi wao kama kampun wanafaidi nn wakiweka hivo au ndo vutia watejakuna kitu ina itwa pawa 6... unawekewa mechi 6 uzitabiri matokeo sahihi kwa kila mechi..unacheza bila kuweka stake...lakini ukitabiri sahihi unapewa mzigo
Yeah Thats how tunafanya...Like sports entertainment tu na ukipata unafurahi ukikosa ni kama yanga na ihefu tu 🤣🤣Play for Fun, when fun stop, Go home 😐😐😐
Kubahatisha tuKuna odds nyingi sana ukitulia unawin na unapata pesa nzuri, acheni tamaa tu.
Hii ikoje na wapikuna kitu ina itwa pawa 6... unawekewa mechi 6 uzitabiri matokeo sahihi kwa kila mechi..unacheza bila kuweka stake...lakini ukitabiri sahihi unapewa mzigo
mimi niliambulia buku mbili tu kwa sababu nilikuwa mtu wa 2529 nikiwa na point 12
Hii app ganiKuna odds nyingi sana ukitulia unawin na unapata pesa nzuri, acheni tamaa tu.
yaah hiyo vutia wateja...maana ni mpaka ujisajiri ndio ucheze....Daaa afu hiyo naiskiaga ila cjawahi jaribu,,ivi wao kama kampun wanafaidi nn wakiweka hivo au ndo vutia wateja
🤣🤣🤣🤣 Ndo mechi alopigwa ANIBITEENKaka Kwan mpka uhitamke yanga na ihefu akuna mifano mingne🤒
iko betpawa mkuu angalia sehmu imendikwa pawa 6Hii ikoje na wapi
Sasa Mtu anaweka 500 au 1000 kwenye mkeka, alafu anataka ashinde BILLION MOJA, kama siyo wehu ni nini?? 😃😃😃😃😃Yeah Thats how tunafanya...Like sports entertainment tu na ukipata unafurahi ukikosa ni kama yanga na ihefu tu 🤣🤣
😃😃😃😃, nilikosaga 12m, realMadrid ndo aliniuua aise. Alikua anacheza na Atletico Madrid.Aisee betting inataka roho ya chuma ukiwa na roho nyepesi unaweza kukata Moto kimasihara Sana.
Weka, hizi 200, miambili kwenye betpawa, utaishi bila kuutesa moyoUongo, hakuna cha fun kwenye kubeti