Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Laki 3 tu .Ila Barcelona Jana kanivua nguo sina furaha
 
Hakuna kupumzika mpaka kaburini
Ni kweli kabisa, Mungu mwenyewe toka aumbe mbingu na dunia, hajawahi kupumzika; muda wote yuko macho kuangalia viumbe wake (duniani na mbinguni) wanaenenda vyema. Tunaposema Mungu alipumzika siku ya saba, hii ilimaanisha alipumzika kuumba na siyo kuacha kuangalia mienendo ya dunia na mbingu.
 
Yap sikuzote kwenye kubet haumii Kwa kile unachoweka kinauma kile unachoenda kukosa mfano mm niliweka elfu 23 kilichoniumiza ni kukosa Ile 6m sio Ile niliyoweka.
Safi sana kama umeshalitambua hilo najua dawa yake umeishaijua pia
 
kuna kitu ina itwa pawa 6... unawekewa mechi 6 uzitabiri matokeo sahihi kwa kila mechi..unacheza bila kuweka stake...lakini ukitabiri sahihi unapewa mzigo
Daaa afu hiyo naiskiaga ila cjawahi jaribu,,ivi wao kama kampun wanafaidi nn wakiweka hivo au ndo vutia wateja
 
kuna kitu ina itwa pawa 6... unawekewa mechi 6 uzitabiri matokeo sahihi kwa kila mechi..unacheza bila kuweka stake...lakini ukitabiri sahihi unapewa mzigo

mimi niliambulia buku mbili tu kwa sababu nilikuwa mtu wa 2529 nikiwa na point 12
Hii ikoje na wapi
 
Back
Top Bottom