Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Wewe ni mtu wa ajabu 2M ukaiacha, Always last matches are deadly, you should have cashed out before the match ungepata 3.na points zake
 
yah kuna mwenzio kakosa milioni 15.mechi zote 12 zimetiki mechi ya Arsenal Vs Man City alibeti zipatikane goli mbili tu mechi ikaisha 1-0.

Jamaa kavua shati akakaa chini kanyoosha miguu mbwa yule,nishamwambia beting itakuuwa ila haisikii.
Hajui kudefence game ikibaki moja ni simple tu
 
DOGO wangu mmoja alibet hivyo hivyo kijinga kijinga kwa buku na mkeka ukasoma 170+m.

Imebakia Timu moja anayoiamini ikapigwa dk za mwanzoni.

Mkeka ukamuambia cash out milioni Tano.

Akaniuliza nifanyeje,?- nikamjibu toa hiyo 5m.

Akagoma.

Mwishowe timu ikafungwa akakosa yote japo na mimi nilijilaumu kwa ushauri ule.

Fikiria timu YAKE ya mwisho ingeshinda na mimi kumtaka atoe 5m na kukosa 170+m.

Aliugua wiki nzima
 
yah kuna mwenzio kakosa milioni 15.mechi zote 12 zimetiki mechi ya Arsenal Vs Man City alibeti zipatikane goli mbili tu mechi ikaisha 1-0.

Jamaa kavua shati akakaa chini kanyoosha miguu mbwa yule,nishamwambia beting itakuuwa ila haisikii.
😂😂😂 kubeti kunataka uwe na roho ya chuma Mzee lasivyo unaweza kata moto
 
Issues sio kutegemea kama source of income, but maumivu yanakuja pale unaiona kabsa milion hii hapa alafu ndan ya dkk mbili tu inatoweka,,hata kama unabeti for leisure hii lazima ikuume mkuu
Iko hivi unapobeti elewa hili.
Mechi zikiwa hazijaanza una 100% ya kushinda.
Mechi ikianza hata moja tu winning posibility inashuka from 100% to 1% . Yaani mkeka kuchanika ni 99%
 
Iko hivi unapobeti elewa hili.
Mechi zikiwa hazijaanza una 100% ya kushinda.
Mechi ikianza hata moja tu winning posibility inashuka from 100% to 1% . Yaani mkeka kuchanika ni 99%
Daaa! ila kubeti aise hapana, unakuta sometimes unateam tisa zote zimetiki unamsikilzia mshez mmoja anakuja kukuchania some time unakuta ni dkk za nyongeza,,
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…