mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Daah we acha tu mwamba timu 19. Zimetiki 18 Ila man City kaharibu sherehe mpuuz yule.[emoji23][emoji23][emoji23]aaha Mzee Hata hamu ya kula Huwa inakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah we acha tu mwamba timu 19. Zimetiki 18 Ila man City kaharibu sherehe mpuuz yule.[emoji23][emoji23][emoji23]aaha Mzee Hata hamu ya kula Huwa inakata
Hajui kudefence game ikibaki moja ni simple tuyah kuna mwenzio kakosa milioni 15.mechi zote 12 zimetiki mechi ya Arsenal Vs Man City alibeti zipatikane goli mbili tu mechi ikaisha 1-0.
Jamaa kavua shati akakaa chini kanyoosha miguu mbwa yule,nishamwambia beting itakuuwa ila haisikii.
Mi nishazoea ukichanika ni fursa kwa siku zijazo no stressingAise kubet kunahitaji roho ya chuma
😂😂😂 kubeti kunataka uwe na roho ya chuma Mzee lasivyo unaweza kata motoyah kuna mwenzio kakosa milioni 15.mechi zote 12 zimetiki mechi ya Arsenal Vs Man City alibeti zipatikane goli mbili tu mechi ikaisha 1-0.
Jamaa kavua shati akakaa chini kanyoosha miguu mbwa yule,nishamwambia beting itakuuwa ila haisikii.
Issues sio kutegemea kama source of income, but maumivu yanakuja pale unaiona kabsa milion hii hapa alafu ndan ya dkk mbili tu inatoweka,,hata kama unabeti for leisure hii lazima ikuume mkuuHakuna kitu kibaya kama kutegemea 100% betting kama source of income
Iko hivi unapobeti elewa hili.Issues sio kutegemea kama source of income, but maumivu yanakuja pale unaiona kabsa milion hii hapa alafu ndan ya dkk mbili tu inatoweka,,hata kama unabeti for leisure hii lazima ikuume mkuu
Kuna muda ukiliwa unakuwa huna hisia za mapenzi kabisa.Uzuri wa betting ni ngumu upatikane na magonjwa yatokanayo na ngono
Daaa! ila kubeti aise hapana, unakuta sometimes unateam tisa zote zimetiki unamsikilzia mshez mmoja anakuja kukuchania some time unakuta ni dkk za nyongeza,,Iko hivi unapobeti elewa hili.
Mechi zikiwa hazijaanza una 100% ya kushinda.
Mechi ikianza hata moja tu winning posibility inashuka from 100% to 1% . Yaani mkeka kuchanika ni 99%
Pole sanaAise hii michezo ni hatari sana, sio kiuchumi tu zaid kiafya, hii kitu imenikuta jana.
Sasa Jana katika kujaribu zari nikawa nimebeti, nikazipa kama timu nane hivi nikatia stake yangu kiasi, mkeka ukawa unasoma 6m na some thing, nikaendelea na mambo yangu...