Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Daaa! ila kubeti aise hapana, unakuta sometimes unateam tisa zote zimetiki unamsikilzia mshez mmoja anakuja kukuchania some time unakuta ni dkk za nyongeza,,
Ndivyo ilivyo mimi wiki iliyoisha yote nimechaniwa na timu moja moja.
 
 
Mimi kesh out hua naizingatia sana. Kwa ninavyojijua hiyo 2M ningekua nishasomba [emoji1787]
 
Watu waongo sana humu
Mwanzoni nilikuwa napuuza ila mkuu wapo watu wanapoteza pesa online. Waongo wapo ila wapo pia wanaopoteza pesa nyingi zisizofiirika kizembe kweli.

Kuna mtu anakipato cha 2m per month ni mpenzi wa michezo ya slots ila tatizo ni akipata pesa tu ni slots.

Jamaa pesa ikiingia tu ni kwenye slot mitandaoni na analiwa na hakomi. Huenda haya makampuni yaweke loss limit ya lazima kwa mwezi kusaidia vijana.

Mfano, wapenzi wa hii michezo ya online walazimishwe kujaza loss limit kuwa ndani ya mwezi ukiliwa Tsh 500,000 usiruhusiwe kucheza mpaka mwezi uishe na hiyo loss limit ukishaijaza ukifanya mabadiliko yawe active baada ya mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…