Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndivyo ilivyo mimi wiki iliyoisha yote nimechaniwa na timu moja moja.Daaa! ila kubeti aise hapana, unakuta sometimes unateam tisa zote zimetiki unamsikilzia mshez mmoja anakuja kukuchania some time unakuta ni dkk za nyongeza,,