Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

Hakuna damu ya mtu inayo mwagika bure. kwakua wewe ulimchoma visu mbavuni, ni wazi uli ua, damu ya uyo mwizi iko juu yako na kizazi chako. chunguza maisha unayoishi sasa na yatakayo kuja yote yatakua ni miserable. Nenda katubu na ubatizwe upya.
Hahaha mwizi tena anayejitetea kwa kisu acha afe na maisha yanasonga mkuu.....
 
Kujua info za mpangaji ni kazi za mmiliki wa hizo frames. Waanze na owner
 
Hakuna damu ya mtu inayo mwagika bure. kwakua wewe ulimchoma visu mbavuni, ni wazi uli ua, damu ya uyo mwizi iko juu yako na kizazi chako. chunguza maisha unayoishi sasa na yatakayo kuja yote yatakua ni miserable. Nenda katubu na ubatizwe upya.
hizo imani tu mwizi haitakiwi aione kesho
 
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote, mali zinaweza kurudi ila uhai hauwezi. waafrica ni wapumbavu wakubwa kwakua wamekuua wakiwauwa watu ambao waliwaibia simu tu... jiulize kwanini ujinga huu upo tu africa? Kwani dunia nzima hakuna wezi?
mwizi ukiingia kwenye 18 zake anakuua kisa mfukoni hajakukuta na kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…