Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo

Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
😀 😀 😀 😀
 
Siku moja natoka zangu bondeni naelekea home mida kama saa tano hivi familia ilikua imesafiri basi sikua na haraka za home...
wakati napita msikiti wa ferry naelekea njia ya mji mwema nikaskia kwa mbele mwiziiiiiiiii mwiziiiiiii kuna hostel ya wanafunzi pembeni mwa petrol station iliyoko pembeni mwa bahari asee jamaa hakuvuka barabara kashadakwa nikaanza kusoma mchezo dakika chache tu boda wa kijiwe lami wakaingia na pikipiki zao.

jamaa alipigwa wakaanza kumpanda na pikipiki japo hainihusu na sijaibiwa mimi ila nilitafuta nafasi jamaa kashavuliwa nguo kachakazwa nikatekenya mbavu mara mbili nikafuta kisu changu nikarudisha kiunoni.
Yule mwizi aliiba wakastukia akamkata dogo mmoja na kisu mkononi kwahyo sumu ikawajaa wanachuo.

Kesho yake naambiwa jamaa alipelekwa kwenye mbuyu kashakufa lolisi wakaja saa kumi usiku wakachukua maiti yao ila ilikua haifai maana mwili umekatika katika kwa tairi za pikipiki..

Sipendi kuhurumia mwizi maana anakuua anaondoka na mali yako
Hakuna damu ya mtu inayo mwagika bure. kwakua wewe ulimchoma visu mbavuni, ni wazi uli ua, damu ya uyo mwizi iko juu yako na kizazi chako. chunguza maisha unayoishi sasa na yatakayo kuja yote yatakua ni miserable. Nenda katubu na ubatizwe upya.
 
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote, mali zinaweza kurudi ila uhai hauwezi. waafrica ni wapumbavu wakubwa kwakua wamekuua wakiwauwa watu ambao waliwaibia simu tu... jiulize kwanini ujinga huu upo tu africa? Kwani dunia nzima hakuna wezi?
 
Kuna clip nimekutana nayo insta nikasahau kuipakua, ishu imetokea magomeni, jamaa amepanga frame ya biashara anapiga zake biashara mdogo mdogo kashakaa miezi mitatu

Siku jamaa kaingia dukani kwake usiku sijui walikua wangapi wapo na ma driller sijui jamaa katoboa ukuta katokea frame ya anayepakana nae kasafisha Kila kitu, kamaliza hapo katoboa tena kwingine Yani mpaka mwisho kawasafisha wote karudi kwenye frame yake kasepa, frame zilikua zimepangana maduka ya simu

Jamaa asubuhi wanalia tu na kutukana wanaulizana nani anamjua, wote wanasema walikua wanamuona tu dukani, imagine aisee una familia ndo biashara unayotegemea afu kenge mmoja siku anakumaliza Kila kitu

Nimewaza sana duka la simu ukiibiwa smart phone kama 100 aisee acha tu, ukute mtu uliweka na simu za Bei ghali.... Dah jamaa mmoja alikua analia kabisa

Wezi sio watu.... Na natoa hii kama tahadhari hakikisha mtu mliyepanga nae jirani unajua hata abc zake maana naona huu mfumo watu watapigwa sana
Ukikamata kibaka choma moto, ndo principle yangu toka utotoni hio.
 
Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo

Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
Nlikuwa ilala boma mida ya saa tisa tupo kweny ka grocery ...nashangaa jamaa kapita speed anakimbizwa....kama dk 6 jamaa karud nae tunamuuliza VP huyu?jamaa analalamika ameibiwa sanaaa anataka ampeleke mwizi geto akapige na chupa ya value kubwa.....aysee jamaaa kaomba msamaha kwani jamaa alikuwa amedhamiria kwenda kuyatatua marinda kabisa
 
Kwanini umchome moto mwanadamu mwenzio? Kwanini usimpige tu na ukamuacha na maumivu yake?

Namna mlivyowajinga, mtu anaewaibia kuku tu mna muua, ila kiongozi anaewaibia mabilion ya kujenga hospital zenu mnamsifia.
Tuliza akili acha mihemko mzee, kwanza wewe ndo mjinga, hayo mabilioni unayoyaongelea ulishayaona? Hio hospitali ya huko fugazi village mm niliepo huku inanihusu nini? Ni mpuuzi pekee anaongelea mambo asioyaona

Lakini huyu mwizi anakuja kukuibia directly kitu kinachokuhusu wewe. Mali za familia yako au biashara yako.

Mzee hizo ndo principles zangu kama hukubaliani nazo pita kushoto, mimi mwizi napiga af nachoma, najua utashangaa kama hujakaa miji kama kahama, na nikipata gun permit ndo anakula headshot mbili wakazike ndugu zake. Itakua wewe bado mtoto hujajua uchungu wa kutafuta hela, au unakaa kwa shemeji yako unaangalia azamtv na kufuatilia mpira tu.
 
Kuna clip nimekutana nayo insta nikasahau kuipakua, ishu imetokea magomeni, jamaa amepanga frame ya biashara anapiga zake biashara mdogo mdogo kashakaa miezi mitatu

Siku jamaa kaingia dukani kwake usiku sijui walikua wangapi wapo na ma driller sijui jamaa katoboa ukuta katokea frame ya anayepakana nae kasafisha Kila kitu, kamaliza hapo katoboa tena kwingine Yani mpaka mwisho kawasafisha wote karudi kwenye frame yake kasepa, frame zilikua zimepangana maduka ya simu

Jamaa asubuhi wanalia tu na kutukana wanaulizana nani anamjua, wote wanasema walikua wanamuona tu dukani, imagine aisee una familia ndo biashara unayotegemea afu kenge mmoja siku anakumaliza Kila kitu

Nimewaza sana duka la simu ukiibiwa smart phone kama 100 aisee acha tu, ukute mtu uliweka na simu za Bei ghali.... Dah jamaa mmoja alikua analia kabisa

Wezi sio watu.... Na natoa hii kama tahadhari hakikisha mtu mliyepanga nae jirani unajua hata abc zake maana naona huu mfumo watu watapigwa sana
Inatafakarisha kiukweli. Anaaeza kuja mtu akaweka kibishara mshenzi tu hamna habari nae kumbe mwizi siku anawapiga.

Wezi nao wamejiupdate wanaenda na wakati. Wanatumia pesa kupata pesa. Aisee tuwe makini.
 
Wezi nawachukia sana kutoka moyoni/rohoni niliwahi ibiwa Pesa mpesa niliumia sana alinirudisha nyuma mtaji..lakini pia mtaani naibiwa sana kuku wangu mbaya zaidi kuna jirani yetu ndo mwizi japo hajakamatwa so tunakosa ushahidi ..sikuona huruma wale waliowekewa sumu kule kagera mara baada ya kuiba kuku wa jirani kwa kuwa niliyapitia hayo inauma inakera mno unajibana unajizuia kufanya mambo mengine alafu mtu anajichkulia kiwepesi mtaani kwangu tulishachoma wezi wawatu na wote nashiriki kutoa tyre wachomwe walau wizi umepungua bado hao wa kuku tunawalia mingo siku wakiingia 18 taarifa zao zitasomeka..
 
Nilishawahi kumkimbiza mwizi usiku kimya kimya mtu mbili tu nia yangu ilikua nimuue bila mashahidi alichonikera ni kupiga kelele za kuomba msaada hadi watu wakaamka nimemkamata tu watu wakajaa na mwenyekiti akiwepo

Ikabidi nimkabidhi kwa serekali ila nilimwambia mwizi umeniangusha sana kuna kitu nilitaka nikufanyie iwe siri yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha
 
Sawa kuibiwa inauma, sawa labda inaweza wekwa sheria wezi wahukumiwe kufa.

Lakini wewe mtu binafsi usichukulie kuua kitu rahisi, unaweza usibaki sawa maisha yako yote. Ila tunatofautiana.
 
Mwaka juzi stend ya Magufuri nilienda kutuma mzigo wakati natoka pale pemben ya geti nikastuk nimepigwa kibao kidogo kichwani kugeuka naona jamaa watatu wapo serious na stori zao nikapuuzia.
Nafika huku nje kumbe wamenifokoa elfu 5 mfuko wa nyuma.Nikajiuliza kama nisingekuwa na Hela nyingne ningerudi vipi kazini.
Kweli kuua wezi si vizuri ila matukio Yao hayana huruma.
 
Back
Top Bottom