Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

Wanawake tuna huruma sana, hadi chiwawa ulipendwa? 😹😹😹

Mi naweza kuamka nikakwambia sikutaki na niko sawa tu tunacheka hapo ujue sirudi baba Jane bye bye..!! 😹😹

Ex wangu aliniambia tuachane nikamjibu Bon voyage akashangaa mbona huniulizi kwanini tunaachana? Nikamjibu, mimi mwenyewe nilikuwa nawaza hii siku itafika lini nipumzike 😹😹😹

Akasema, hapa haachiki mtu kuanza kutongoza upya kipengele.. nikamwambia em tokaa nimeshafunga ukurasa anza maombi upya..!!

Na anajua alivyohenya kunishawishi kuingia kwenye husiano, vizinga kama vyote..!!

Mwanaume ukimuonyesha mapenzi ya dhati anakuona yatima wa mapenzi anakumudu anaanza kukuendesha..!!
Uzuri online shupavu ila kitaaa mnakuja magetoni mnatufulia mnatupikia na show uhakika tena non stop supply.
 
Uzuri online shupavu ila kitaaa mnakuja magetoni mnatufulia mnatupikia na show uhakika tena non stop supply.
Katika upuuzi sikuwahi kufanya na sitokuja kufanya ni huo wa kwenda ghetto kujipa u wife material 😹😹😹

Mpaji, mimi hata mwanaume akiniita date nitampima na kumtafakari naweza hata nisiende..!! Nina nyodo na viburi sana..!!

Hii kitu ninayo by nature 😹
 
Hujaingia tu kwenye mfumo, tena bora ambao tumefanya mautoto yote ya mapenzi tukiwa kwenye 20's we unaeza kuwa saiv hujafanya mengi ambayo wenzako walifanya lakini kuna namna utakuja kuyafanya baadae ukiwa mumama wa makamo
 
Mi mifumo yenu ilinikataa kitambo, unajua kwanini??
Nimekulia kitaa cha wahuni na ma bro nilikuwa nawaona mishe zao na story zao..!!

Nikajua kabisa mwanamke kama hujielewi utapelekeshwa na kutumiwa tu…

Mimi kuzinguana na mwanaume dk sifuri ujue 😹

Nishawahi kumwambia ex wangu zamu yako kaa chini nikupelekee moto… nikamtishia kugusa kalio akaruka 😹😹
 
Hapo ni dunia imekufunza sio God 😹😹

Kitaani unakutana na walimwengu ndio hao sasa wanaendesha universe kukushape na kukupiga matukio…!! Mi napenda kuwaita waungwana…!! 😹
Hakika kwakweli...

Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa

Ila yote kheri, these things can't be rushed
 
Mi mifumo yenu ilinikataa kitambo, unajua kwanini??
Nimekulia kitaa cha wahuni na ma bro nilikuwa nawaona mishe zao na story zao..!!

Nikajua kabisa mwanamke kama hujielewi utapelekeshwa na kutumiwa tu…

Mimi kuzinguana na mwanaume dk sifuri ujue 😹

Nishawahi kumwambia ex wangu zamu yako kaa chini nikupelekee moto… nikamtishia kugusa kalio akaruka 😹😹
Mabinti wengi ambao wameshuhudia mingle za kaka zao au kukua akishuhudia ndugu zake wa kiume wanavokula nyama hua wanajua code nyingi zake kiumeni ila sema nini kuna namna utakuja kulipa hilo deni kwa namna yake shukuru tu hatujuani, tena mshkaji atakaekuja kukunyoosha utakuta ni mwana flan tu muonekano wa kawaida, uchumi umemchumu na hata hygiene binafsi ipo negative.
 
Hiyo atalipia kizazi changu kijacho kwa mimi nyanya yao… IMEISHA HIYOOOO 😹😹

Huyo wa kuiteka akili yangu ndio hayupo labda aniroge, japo uchawi haupo sijawahi kuuamini..!!

Halafu mwanaume mchafu ndio hapana, bora akose pesa sio kuwa mchafu alooo..!! 😹
 
Mi nakwambia tu weka akiba ya maneno mwanangu mapenzi ni game flan ya kiwaki sana.
 
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..

Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku.

Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead over me. Yaani nilikuwa najipakulia minyama na kuchukulia advantage wala nisijue ya kuwa she was heaven sent.

I rarely gave her presents as much as she gave me. I never sincerely cared for her, like she used to. Nilikuwa nampa mateso ya kihisia then nayatibu mwenyewe.

But what I didn't realize is that there comes a day when she's gonna know her own worth, yaani ile siku atakayotambua upendo alionipa ilikuwa sacrifice yake kwangu. Tulikorofisha as always nikijua she's used to it, then si akaniambia "gunner!, just jua you'll never experience a love like mine, don't ever call me and never look for me again" nikacheka! Na kumwambia nenda usinililie mimi..

Well to cut the story that was the last day, ya kuwa naye tena kimahusiano... Week ilikata bila kunichek, mwezi... Daah mwishowe nikaanza kuamini..

Oya, aisee pisi zote zilikuwa nilo kuwa nadhani ni side chicks, zote zilinipiga za uso, nikawa nashangaa ina maana alichukua nyota yangu nini!

Aisee nilijua kuwa upendo wa kweli ulikuwa mbele ya macho yangu and I fumbled it. Nilihenya, ni Lilia, niliwatafuta ndugu zake jamaa na marafiki but she didn't change her mind. Wakuu, don't play when you get the love of your life.

Mimi baada ya kuachwa na yule manzi nimekuwa nikitapatapa tu, I think she'll be married by now, ila nikajifunza kutokucheza na hisia za mtu,

karma never leaves a fool behind.

Till date I regret the decisions I made,
I miss her, but the universe already did its job..

Wale wenye mapenzi ya maigizo huwa nawaona wajinga tu, maana how can you fake such a deep intimacy? How can you be a player knowing the endgame is death?

This was her favorite song..

View attachment 3655778
Watoto wa afu 2 kwenye ubora wenu.
 
Back
Top Bottom