Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Uzuri online shupavu ila kitaaa mnakuja magetoni mnatufulia mnatupikia na show uhakika tena non stop supply.Wanawake tuna huruma sana, hadi chiwawa ulipendwa? ๐น๐น๐น
Mi naweza kuamka nikakwambia sikutaki na niko sawa tu tunacheka hapo ujue sirudi baba Jane bye bye..!! ๐น๐น
Ex wangu aliniambia tuachane nikamjibu Bon voyage akashangaa mbona huniulizi kwanini tunaachana? Nikamjibu, mimi mwenyewe nilikuwa nawaza hii siku itafika lini nipumzike ๐น๐น๐น
Akasema, hapa haachiki mtu kuanza kutongoza upya kipengele.. nikamwambia em tokaa nimeshafunga ukurasa anza maombi upya..!!
Na anajua alivyohenya kunishawishi kuingia kwenye husiano, vizinga kama vyote..!!
Mwanaume ukimuonyesha mapenzi ya dhati anakuona yatima wa mapenzi anakumudu anaanza kukuendesha..!!
Katika upuuzi sikuwahi kufanya na sitokuja kufanya ni huo wa kwenda ghetto kujipa u wife material ๐น๐น๐นUzuri online shupavu ila kitaaa mnakuja magetoni mnatufulia mnatupikia na show uhakika tena non stop supply.
Ulibeep umepigiwa, kula chuma ๐น๐นMimi aisee sichezei hisia tena na kucheza michezo nimekoma
Hujaingia tu kwenye mfumo, tena bora ambao tumefanya mautoto yote ya mapenzi tukiwa kwenye 20's we unaeza kuwa saiv hujafanya mengi ambayo wenzako walifanya lakini kuna namna utakuja kuyafanya baadae ukiwa mumama wa makamoKatika upuuzi sikuwahi kufanya na sitokuja kufanya ni huo wa kwenda ghetto kujipa u wife material ๐น๐น๐น
Mpaji, mimi hata mwanaume akiniita date nitampima na kumtafakari naweza hata nisiende..!! Nina nyodo na viburi sana..!!
Hii kitu ninayo by nature ๐น
Mi mifumo yenu ilinikataa kitambo, unajua kwanini??Hujaingia tu kwenye mfumo, tena bora ambao tumefanya mautoto yote ya mapenzi tukiwa kwenye 20's we unaeza kuwa saiv hujafanya mengi ambayo wenzako walifanya lakini kuna namna utakuja kuyafanya baadae ukiwa mumama wa makamo
Hapo ni dunia imekufunza sio God ๐น๐นI thank God kanifunza mengi.
Hakika kwakweli...Hapo ni dunia imekufunza sio God ๐น๐น
Kitaani unakutana na walimwengu ndio hao sasa wanaendesha universe kukushape na kukupiga matukioโฆ!! Mi napenda kuwaita waungwanaโฆ!! ๐น
Mabinti wengi ambao wameshuhudia mingle za kaka zao au kukua akishuhudia ndugu zake wa kiume wanavokula nyama hua wanajua code nyingi zake kiumeni ila sema nini kuna namna utakuja kulipa hilo deni kwa namna yake shukuru tu hatujuani, tena mshkaji atakaekuja kukunyoosha utakuta ni mwana flan tu muonekano wa kawaida, uchumi umemchumu na hata hygiene binafsi ipo negative.Mi mifumo yenu ilinikataa kitambo, unajua kwanini??
Nimekulia kitaa cha wahuni na ma bro nilikuwa nawaona mishe zao na story zao..!!
Nikajua kabisa mwanamke kama hujielewi utapelekeshwa na kutumiwa tuโฆ
Mimi kuzinguana na mwanaume dk sifuri ujue ๐น
Nishawahi kumwambia ex wangu zamu yako kaa chini nikupelekee motoโฆ nikamtishia kugusa kalio akaruka ๐น๐น
Hiyo atalipia kizazi changu kijacho kwa mimi nyanya yaoโฆ IMEISHA HIYOOOO ๐น๐นMabinti wengi ambao wameshuhudia mingle za kaka zao au kukua akishuhudia ndugu zake wa kiume wanavokula nyama hua wanajua code nyingi zake kiumeni ila sema nini kuna namna utakuja kulipa hilo deni kwa namna yake shukuru tu hatujuani, tena mshkaji atakaekuja kukunyoosha utakuta ni mwana flan tu muonekano wa kawaida, uchumi umemchumu na hata hygiene binafsi ipo negative.
Lile likenge na yale Makebo yake wallah lingeniua mamaamina zake bora nilipita kushotoThis was her favorite song..
Mi nakwambia tu weka akiba ya maneno mwanangu mapenzi ni game flan ya kiwaki sana.Hiyo atalipia kizazi changu kijacho kwa mimi nyanya yaoโฆ IMEISHA HIYOOOO ๐น๐น
Huyo wa kuiteka akili yangu ndio hayupo labda aniroge, japo uchawi haupo sijawahi kuuamini..!!
Halafu mwanaume mchafu ndio hapana, bora akose pesa sio kuwa mchafu alooo..!! ๐น
***** unaogopa kuisoma hii sentensi? soma tuLile likenge na yale Makebo yake wallah lingeniua mamaamina zake bora nilipita kushoto
Mi sasa hivi natamani sipendi ๐น๐นMi nakwambia tu weka akiba ya maneno mwanangu mapenzi ni game flan ya kiwaki sana.
Mtego โฆ.,implicature โฆ maana yake amejifunza kutokana na makosa kwa hiyo anayewindwa anaambiwa mimi sio kama wengine wazungu hii wanaita mythomania.Hadithi yako inatufundisha nini
Mashuhuda tupo siku utakanyooshwa na mapenzi na msaada pekee tutakaokupa ni #freelamomy.Mi sasa hivi natamani sipendi ๐น๐น
Mi nna limoyo la nyodo na kiburi ukitaka kwenda nenda ukitaka kubaki baki..!
Huyo ndio mimi..!!
๐น๐น๐น Huyo atakayeniweza inatakiwa nimpigie salute..!!Mashuhuda tupo siku utakanyooshwa na mapenzi na msaada pekee tutakaokupa ni #freelamomy.
Watoto wa afu 2 kwenye ubora wenu.Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..
Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku.
Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead over me. Yaani nilikuwa najipakulia minyama na kuchukulia advantage wala nisijue ya kuwa she was heaven sent.
I rarely gave her presents as much as she gave me. I never sincerely cared for her, like she used to. Nilikuwa nampa mateso ya kihisia then nayatibu mwenyewe.
But what I didn't realize is that there comes a day when she's gonna know her own worth, yaani ile siku atakayotambua upendo alionipa ilikuwa sacrifice yake kwangu. Tulikorofisha as always nikijua she's used to it, then si akaniambia "gunner!, just jua you'll never experience a love like mine, don't ever call me and never look for me again" nikacheka! Na kumwambia nenda usinililie mimi..
Well to cut the story that was the last day, ya kuwa naye tena kimahusiano... Week ilikata bila kunichek, mwezi... Daah mwishowe nikaanza kuamini..
Oya, aisee pisi zote zilikuwa nilo kuwa nadhani ni side chicks, zote zilinipiga za uso, nikawa nashangaa ina maana alichukua nyota yangu nini!
Aisee nilijua kuwa upendo wa kweli ulikuwa mbele ya macho yangu and I fumbled it. Nilihenya, ni Lilia, niliwatafuta ndugu zake jamaa na marafiki but she didn't change her mind. Wakuu, don't play when you get the love of your life.
Mimi baada ya kuachwa na yule manzi nimekuwa nikitapatapa tu, I think she'll be married by now, ila nikajifunza kutokucheza na hisia za mtu,
karma never leaves a fool behind.
Till date I regret the decisions I made,
I miss her, but the universe already did its job..
Wale wenye mapenzi ya maigizo huwa nawaona wajinga tu, maana how can you fake such a deep intimacy? How can you be a player knowing the endgame is death?
This was her favorite song..
View attachment 3655778
ChaiMi sasa hivi natamani sipendi ๐น๐น
Mi nna limoyo la nyodo na kiburi ukitaka kwenda nenda ukitaka kubaki baki..!
Huyo ndio mimi..!!