Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kulangua ni kununua viru kwa bei ndogo na kuja kuuza kwa bei kubwa bro, kifupi demu wa mchizi alikuwa ana point mzigo hapo sokoni.Hilo neno kulangua😬 ni mimi tu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulangua ni kununua viru kwa bei ndogo na kuja kuuza kwa bei kubwa bro, kifupi demu wa mchizi alikuwa ana point mzigo hapo sokoni.Hilo neno kulangua😬 ni mimi tu au?
...vitu...Kulangua ni kununua viru kwa bei ndogo na kuja kuuza kwa bei kubwa bro, kifupi demu wa mchizi alikuwa ana point mzigo hapo sokoni.
Mi nimegundua hii stori ni yake, inawezekana anataka watu wasijue hilo ila watu makini tunaelewa kinachoendelea hapa
Ukute hakuna cha jamaa yake wala nini, ni yeye yamemkuta. Acha twende nayo hivi hivi hii movie.
Awe ananitag tuAtafika mbali...
Sasa ampige chini kisa demu katombwer na sponsor😲😲😲,,,,ndipo jamaa alipo vaa bukta na kutoka sebuleni maana (sponsor) yemwenyewe alichanganyikiwa, wakasalimiana waka tambulishana na majina ndipo (sponsor) akaanza kusimulia kuhusu yule demu
yakwamba walifahamiana sokoni na Dem alimwambia hana mtu japo kua amesha kutana na meseji za kutatanisha kupitia ile namba alioamua kuichukua maana alinambia wewe ni x wake eti huwa unasumbua nk,
na akaeleza kuhusiana na vitu vyote vilivyomo mle ndani ni yeye (sponsor) alimnunulia na alikua ameshaanza kusikia kwamba kuna mwanaume huwa anakuja pale, lakini alimuuliza Dem akadai anae kujaga pale ni kakake na mambo kibao
aisee jamaa anakwambia haya mambo tuyasikie kwa wengine yanaumiza japo kua wali share (sponsor) aliamua kwenda zake akasema angerudi kesho yake kuja kudai vitu vyake, alivyoondoka demu ali rudi kwa uoga na kukuta rafiki amejiinamia akiugulia maumivu na maswali yasiokua namajibu .
dem alifika na kumuangukia miguuni akilia eti ni shetani alimpitia mara nimarafiki walimshauli jamaa akaamua kumuuliza ni wapi alipokosea mpaka akaamua kumfanyia vile nawakati mtaji yeye ndie alimpa, Dem hakumpa majibu ya kueleweka zaidi ya kulia lia tu na kuomba misamaha
na anasema ilesiku demu hakulala kwake alimfuata jamaa mpaka dukani akasema hatoki hata ampige auwe, jamaa anadai aliamua kulala nae dukani kwasababu hakutaka jujaza watu usiku ule na mpaka kuondoka alimuahidi wata yazungumza. anasema nimwanamke aliempenda sana na amewekeza muda na pesa lakini amepigwa za uso
#wazee hayo ndio yalio mkuta rafiki yangu naomba mawazo yakumshauli kwani maumivu anayo yapitia nimakubwa
mimi nimemwambia ampige chini
Ukiyatafutia Producer unauza kabisa kwa wadosi. Upate tu Director mzuri.Awe ananitag tu
Matukio haya ni bongo movie kabisa 😀
Haina ushauri akicheat unamuacha,,,,ndipo jamaa alipo vaa bukta na kutoka sebuleni maana (sponsor) yemwenyewe alichanganyikiwa, wakasalimiana waka tambulishana na majina ndipo (sponsor) akaanza kusimulia kuhusu yule demu
yakwamba walifahamiana sokoni na Dem alimwambia hana mtu japo kua amesha kutana na meseji za kutatanisha kupitia ile namba alioamua kuichukua maana alinambia wewe ni x wake eti huwa unasumbua nk,
na akaeleza kuhusiana na vitu vyote vilivyomo mle ndani ni yeye (sponsor) alimnunulia na alikua ameshaanza kusikia kwamba kuna mwanaume huwa anakuja pale, lakini alimuuliza Dem akadai anae kujaga pale ni kakake na mambo kibao
aisee jamaa anakwambia haya mambo tuyasikie kwa wengine yanaumiza japo kua wali share (sponsor) aliamua kwenda zake akasema angerudi kesho yake kuja kudai vitu vyake, alivyoondoka demu ali rudi kwa uoga na kukuta rafiki amejiinamia akiugulia maumivu na maswali yasiokua namajibu .
dem alifika na kumuangukia miguuni akilia eti ni shetani alimpitia mara nimarafiki walimshauli jamaa akaamua kumuuliza ni wapi alipokosea mpaka akaamua kumfanyia vile nawakati mtaji yeye ndie alimpa, Dem hakumpa majibu ya kueleweka zaidi ya kulia lia tu na kuomba misamaha
na anasema ilesiku demu hakulala kwake alimfuata jamaa mpaka dukani akasema hatoki hata ampige auwe, jamaa anadai aliamua kulala nae dukani kwasababu hakutaka jujaza watu usiku ule na mpaka kuondoka alimuahidi wata yazungumza. anasema nimwanamke aliempenda sana na amewekeza muda na pesa lakini amepigwa za uso
#wazee hayo ndio yalio mkuta rafiki yangu naomba mawazo yakumshauli kwani maumivu anayo yapitia nimakubwa
mimi nimemwambia ampige chini
Demu anajua jamaa ndio mume mtarajiwa. So kula mbususu tu bila kuoa sio matarajio ya demu. Labda awe Jamaa awe anamdanganya amemsamehe atamuoa kumbe anataka mbususu ya bureSasa ampige chini kisa demu katombwer na sponsor😲😲😲
Mwambie aache ufala bwana hapo ni kuendelea kula mbususu cha muhimu sii anapata utamu. Wanawake wengi sana wanachepuka so yeye amwambie tuu kuwa bwana mie utam uwe u anipa pale napotaka na sitaki longongo maisha yaende. Uziru sii umesema huyo demu ana akili za biashara. Bora huyo anachepuka lakini rafiki anafaidika kwa kupata mawazo ya kibiashara.
Sasa demu anataka kuolewa alafu analeta ujinga kabla ya ndoa? Wenzio wanatulioa mpaka kashaolewa then ndio anachepuka.Demu anajua jamaa ndio mume mtarajiwa. So kula mbususu tu bila kuoa sio matarajio ya demu. Labda awe Jamaa awe anamdanganya amemsamehe atamuoa kumbe anataka mbususu ya bure
Ki msingi mbeba mabelo hatoachwa, watabadili tu mbinu za kuchepuka. Hivyo jamaa mbususu aile but ikiwezekana awe makini. Kama ni mshukiaji wa kituo Dry Chama basi PEP zisikosekane.Sasa demu anataka kuolewa alafu analeta ujinga kabla ya ndoa? Wenzio wanatulioa mpaka kashaolewa then ndio anachepuka.
Bwana jamaa yeye ale mbususu tuu wala asisuse kuila sii mrembo anaendelea kuileta mwenyewe. Mbususu haisuswi
Yaani karni hii unakuwa na mpenzi alafu unaogopa ngoma😲😲😲 wee ni fala. Ukiwa uogopa ngoma jiunge chaputa. Huku kwengine kuambukizana nje nje wanawake wenyewe sii ndio kama hivyo wanagawa mbususu kama karanga za kuonjaKi msingi mbeba mabelo hatoachwa, watabadili tu mbinu za kuchepuka. Hivyo jamaa mbususu aile but ikiwezekana awe makini. Kama ni mshukiaji wa kituo Dry Chama basi PEP zisikosekane.
habari zenu
niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,
huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu sio chini ya miaka 3 wakiwa kwenye mahusiano, jamaa anadai huyo demu wake walijuana 2020 na ni mwanamke aliekua ametulia na kuyajua maisha. kwasababu anadai wamepitia vipindi tofauti tofauti (milima na mabonde) jamaa ana jishugulisha na biashara ya duka haya maduka ya mangi, anadai kipindi anakutana na huyo Dem alikua amechangia biashara (duka) na jamaa fulani,,,,,,,,,,,,,
badae biashara iliyumba ikabidi wauze kwa hasara wakagawa na yeye kuamua kujitafuta, wakati wote huo yule demu wake hakumtupa alikua anamtia moyo sana na anadai kama isingekua yeye huenda asingerudi barabarani kwasababu kuna vitu vingi amemsaidia sana mpaka akamshukuru mungu kumletea wife matirio, ikabidi ampe na hela ya mtaji ili na yeye achakalike wasaidiane kuendesha maisha maana alikua na akili ya biashara,
biashara alioichagua binti (demu wa jamaa) niya kuuza mitumba alikua akilangua ma baloo kabisa.
sasa changamoto ili anza baada ya kumwambia jamaa ya kwamba anataka kuhama kwao ili ajitegemee jamaa akauliza kwanini, demu akadai eti kwao kuna dada zake kadhaa wamezalia pale na huwa wana zinguana mara kwa Mara bla bla zikawa nyingi. jamaa ikabidi amwambie asubiri kuna mambo anaweka sawa ili afike kwao na taratibu za kuoana zifuate demu akakubali ila kishingo upande, basi maisha yakaendelea ikafika kipindi wakawa hawaonani zaidi ya kuongea kwenye simu kutokana na ubize wa maisha
sasa sikumoja akashangaa demu ana mwambia ameamua kupanga baada yakuona maisha ya kwao yame mshinda kwani ugomvi hauishi na dada zake nk
jamaa akasema kwasababu ameamua mwenyewe basi haina jinsi, maisha yanaendelea jamaa ikawa kila akimaliza kazi jioni anapita kwa binti wanafanya yao anarudi kulala dukani kama kawaida. sasa akawa anashangaa kila akienda anakuta mazingira yamebadirika mara kanunua Tv, radio ,sofa, ktanda na godoro. mmmh jamaa akawa anashangaa inawezekanaje kila akiuliza dem ana mjibu anacheza vikoba eti kila ikifika zamu yake ndio hununua hivo vitu ila akaanza kuhisi huyu dada atakua ana mwanaume mwengine.
basi bwana siku moja ametulia dukani ana hudumia wateja akapokea simu ilikua ni namba ngeni, huyo mpigaji aka jitambulisha majina yake na kwenda kwenye mada iliyofanya ampigie akamuuliza kama anamjua fulani tumuite rose sio jina harisi(yaani demu wake) anasema kabla yakumjibu akawa amesha hisi jambo akaamua kukata simu maana kuna mteja alikuwa ana muhudumia, na hapo hapo akapokea ujumbe whatsapp jamaa aliejitambulisha akidai rose (mpenzi wa jamaa) ni wake kwamba hii namba niliona kwenye simu ya rose nikaichukua na mambo kibao
Sasa demu unataka ule mbususu kavu na ushaambiwa anachakatwa na wauza mitumba unafanyaje hapo? Utauza tu mechi ukute demu mwenyewe wa kawaidaaaYaani karni hii unakuwa na mpenzi alafu unaogopa ngoma😲😲😲 wee ni fala. Ukiwa uogopa ngoma jiunge chaputa. Huku kwengine kuambukizana nje nje wanawake wenyewe sii ndio kama hivyo wanagawa mbususu kama karanga za kuonja