Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Hivi huwo muda wa kucheza na hisia zako namna hiyo huwa mnautoa wapi, Drama na Kila aina ya Sanaa katika mahusiano siwez vumilia.
huyuu jamaa anacheza na Mtu msaliti kwa sisi tunaojua tabia ya moyo sio kuhangaishwa hangaishwa. yeye amekubali kuwa mtumwa wa mapenzi. huyu ni mshamba wa mapenzi anahisi hata mpata mwingine kama huyo hasa akiikumbuka mbususu ya demu jinsi anavyomsukumiwa mshedede.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu

Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,

Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu sio chini ya miaka 3 wakiwa kwenye mahusiano, jamaa anadai huyo demu wake walijuana 2020 na ni mwanamke aliekua ametulia na kuyajua maisha. Kwasababu anadai wamepitia vipindi tofauti tofauti (milima na mabonde) jamaa ana jishugulisha na biashara ya duka haya maduka ya mangi, anadai kipindi anakutana na huyo dem alikua amechangia biashara (duka) na jamaa fulani.

Badae biashara iliyumba ikabidi wauze kwa hasara wakagawa na yeye kuamua kujitafuta, wakati wote huo yule demu wake hakumtupa alikua anamtia moyo sana na anadai kama isingekua yeye huenda asingerudi barabarani kwasababu kuna vitu vingi amemsaidia sana mpaka akamshukuru mungu kumletea wife matirio, ikabidi ampe na hela ya mtaji ili na yeye achakalike wasaidiane kuendesha maisha maana alikua na akili ya biashara,


Biashara alioichagua binti (demu wa jamaa) niya kuuza mitumba alikua akilangua ma baloo kabisa.

Sasa changamoto ili anza baada ya kumwambia jamaa ya kwamba anataka kuhama kwao ili ajitegemee jamaa akauliza kwanini, demu akadai eti kwao kuna dada zake kadhaa wamezalia pale na huwa wana zinguana mara kwa mara bla bla zikawa nyingi. Jamaa ikabidi amwambie asubiri kuna mambo anaweka sawa ili afike kwao na taratibu za kuoana zifuate demu akakubali ila kishingo upande, basi maisha yakaendelea ikafika kipindi wakawa hawaonani zaidi ya kuongea kwenye simu kutokana na ubize wa maisha


Sasa sikumoja akashangaa demu ana mwambia ameamua kupanga baada yakuona maisha ya kwao yame mshinda kwani ugomvi hauishi na dada zake nk

Jamaa akasema kwasababu ameamua mwenyewe basi haina jinsi, maisha yanaendelea jamaa ikawa kila akimaliza kazi jioni anapita kwa binti wanafanya yao anarudi kulala dukani kama kawaida. Sasa akawa anashangaa kila akienda anakuta mazingira yamebadirika mara kanunua tv, radio ,sofa, ktanda na godoro. Mmmh jamaa akawa anashangaa inawezekanaje kila akiuliza dem ana mjibu anacheza vikoba eti kila ikifika zamu yake ndio hununua hivo vitu ila akaanza kuhisi huyu dada atakua ana mwanaume mwengine.

Basi bwana siku moja ametulia dukani ana hudumia wateja akapokea simu ilikua ni namba ngeni, huyo mpigaji aka jitambulisha majina yake na kwenda kwenye mada iliyofanya ampigie akamuuliza kama anamjua fulani tumuite rose sio jina harisi(yaani demu wake) anasema kabla yakumjibu akawa amesha hisi jambo akaamua kukata simu maana kuna mteja alikuwa ana muhudumia, na hapo hapo akapokea ujumbe whatsapp jamaa aliejitambulisha akidai rose (mpenzi wa jamaa) ni wake kwamba hii namba niliona kwenye simu ya rose nikaichukua na mambo kibao
We jamaa umeona demu ametulia badala umuo unajizungusha zungusha miak mitatu ila jioni ikifika unaenda kula mzigo bure bure tu.

Ach walio serious wafanye yao.
 
Maandiko yanasema tuishi nao kwa akili sasa uyo jamaa yako sijui ndio wewe mwenyewe eniwei kikubwa ni kukaa na ela zako sio kumfungulia biashara mwanamke ambae sio mkeo wa ndoa tulia angalia maisha yako
 
Ht km unamkubali mwanamke kwa kiasi gani usiwekeze moyo wote huko.
Kuna mda unatakiwa uishi nae km jirani tu
 
Wee nae bana usituchoshe hii stori ni yako

Rafiki rafiki this rafiki vile
niya rafiki yangu bwana
mbona unalazimisha maji yapande mlima?
ww toa maoni (ushauli) wako tu, kama hauna pita kushoto
 
Uzuri sponsor kajitoa kwenye mchuano, waache vipofu waongozaje maana mapenzi ni upofu.
 
Back
Top Bottom