Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Mi nimegundua hii stori ni yake, inawezekana anataka watu wasijue hilo ila watu makini tunaelewa kinachoendelea hapa
Ukute hakuna cha jamaa yake wala nini, ni yeye yamemkuta. Acha twende nayo hivi hivi hii movie.

kwamba kapigwa na kitu kizito. Tatizo limtokee rafiki yake yeye aache kuwaamini wanawake🤣
 
Sasa ampige chini kisa demu katombwer na sponsor😲😲😲
Mwambie aache ufala bwana hapo ni kuendelea kula mbususu cha muhimu sii anapata utamu. Wanawake wengi sana wanachepuka so yeye amwambie tuu kuwa bwana mie utam uwe u anipa pale napotaka na sitaki longongo maisha yaende. Uziru sii umesema huyo demu ana akili za biashara. Bora huyo anachepuka lakini rafiki anafaidika kwa kupata mawazo ya kibiashara.
 
Piga chini kahaba huyo. Alitoka kwao Kwa sababu walikuwa wanambana kuhusu uduska wake. Akaenda kupanga chumba Ili awe free kuingiza anayetaka.

Ogopa mwanamke anayepanga chumba
 
Haina ushauri akicheat unamuacha

Usaliti haustahili msamaha
Usaliti ni LAANA
 
Demu anajua jamaa ndio mume mtarajiwa. So kula mbususu tu bila kuoa sio matarajio ya demu. Labda awe Jamaa awe anamdanganya amemsamehe atamuoa kumbe anataka mbususu ya bure
 
Demu anajua jamaa ndio mume mtarajiwa. So kula mbususu tu bila kuoa sio matarajio ya demu. Labda awe Jamaa awe anamdanganya amemsamehe atamuoa kumbe anataka mbususu ya bure
Sasa demu anataka kuolewa alafu analeta ujinga kabla ya ndoa? Wenzio wanatulioa mpaka kashaolewa then ndio anachepuka.
Bwana jamaa yeye ale mbususu tuu wala asisuse kuila sii mrembo anaendelea kuileta mwenyewe. Mbususu haisuswi
 
Ki msingi mbeba mabelo hatoachwa, watabadili tu mbinu za kuchepuka. Hivyo jamaa mbususu aile but ikiwezekana awe makini. Kama ni mshukiaji wa kituo Dry Chama basi PEP zisikosekane.
 
Tuendelee kuwatafuna kwa machale na jitahidi usikose mademu watatu kwa wastani wape ratiba mwingine kila wiki mwingine kwa wiki 2 mwingine mwisho wa mwezi hutojuta na kila mmoja aone impact ukikutana nae
 
Ki msingi mbeba mabelo hatoachwa, watabadili tu mbinu za kuchepuka. Hivyo jamaa mbususu aile but ikiwezekana awe makini. Kama ni mshukiaji wa kituo Dry Chama basi PEP zisikosekane.
Yaani karni hii unakuwa na mpenzi alafu unaogopa ngoma😲😲😲 wee ni fala. Ukiwa uogopa ngoma jiunge chaputa. Huku kwengine kuambukizana nje nje wanawake wenyewe sii ndio kama hivyo wanagawa mbususu kama karanga za kuonja
 
Wakati amawaza kimoyo moyo kua anaweza mfua huyo sponsa(mwembamba),huyo jamaa yako alikua uchi?
 
Kwa hiyo kisa cha mwanamke wako huyu mmoja ndiyo sampuli yako wakilishi (representative sample) iliyokufanya ufikie hitimisho kuu kwamba wanawake wote ni watu wa hovyo? 😳😳😳😳
 
Yaani karni hii unakuwa na mpenzi alafu unaogopa ngoma😲😲😲 wee ni fala. Ukiwa uogopa ngoma jiunge chaputa. Huku kwengine kuambukizana nje nje wanawake wenyewe sii ndio kama hivyo wanagawa mbususu kama karanga za kuonja
Sasa demu unataka ule mbususu kavu na ushaambiwa anachakatwa na wauza mitumba unafanyaje hapo? Utauza tu mechi ukute demu mwenyewe wa kawaidaaa
 
Unaweka imani kwa mwanamke anauza mitumba, anauza mgahawa, anauza bar , anatembeza vitu mtaani. Wewe utakua na tatizo mahala.

Hata iwe pisi mbovu namna gani ila kama inafanya kazi tajwa hapo lazima ikucheat tu.

Mimi ninae wa mgahawani afu safi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…