Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

Hivi huwo muda wa kucheza na hisia zako namna hiyo huwa mnautoa wapi, Drama na Kila aina ya Sanaa katika mahusiano siwez vumilia.
huyuu jamaa anacheza na Mtu msaliti kwa sisi tunaojua tabia ya moyo sio kuhangaishwa hangaishwa. yeye amekubali kuwa mtumwa wa mapenzi. huyu ni mshamba wa mapenzi anahisi hata mpata mwingine kama huyo hasa akiikumbuka mbususu ya demu jinsi anavyomsukumiwa mshedede.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umeona demu ametulia badala umuo unajizungusha zungusha miak mitatu ila jioni ikifika unaenda kula mzigo bure bure tu.

Ach walio serious wafanye yao.
 
Maandiko yanasema tuishi nao kwa akili sasa uyo jamaa yako sijui ndio wewe mwenyewe eniwei kikubwa ni kukaa na ela zako sio kumfungulia biashara mwanamke ambae sio mkeo wa ndoa tulia angalia maisha yako
 
Ht km unamkubali mwanamke kwa kiasi gani usiwekeze moyo wote huko.
Kuna mda unatakiwa uishi nae km jirani tu
 
Wee nae bana usituchoshe hii stori ni yako

Rafiki rafiki this rafiki vile
niya rafiki yangu bwana
mbona unalazimisha maji yapande mlima?
ww toa maoni (ushauli) wako tu, kama hauna pita kushoto
 
Uzuri sponsor kajitoa kwenye mchuano, waache vipofu waongozaje maana mapenzi ni upofu.
 
Sio kwamba muhusika ni wewe mwenyewe umevaa sura ya safk yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…