Aisee nimekutana pisi kitaa nataka mbinu za kutongoza

Aisee nimekutana pisi kitaa nataka mbinu za kutongoza

Mzalendo feki

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
52
Reaction score
83
Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu
Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
 
Miak 22 na pesa ipo
Dogo tulia kwanza umalize chuo, mapenzi yapo tu na pisi zipo nyingi na mbinu utapata ukishamaliza shule..
tapatalk_-529624407.jpg
 
Back
Top Bottom