Mzalendo feki
Member
- Sep 9, 2024
- 52
- 83
Picha?Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu
Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
Miak 22 na pesa ipoUna umri gani? Pesa je? Em tuanzie hapo kwani.
KweliMuulize ChatGPT atakupa mbinu kwa hapa huwezi pata
Ila ukikosa basi mtumie wimbo wa Pawaa by mboso
Muulize ChatGPT atakupa mbinu kwa hapa huwezi pata
Ila ukikosa basi mtumie wimbo wa Pawaa by mboso
Nashukuru kwa mchango wakoMuulize ChatGPT atakupa mbinu kwa hapa huwezi pata
Ila ukikosa basi mtumie wimbo wa Pawaa by mboso
Dogo tulia kwanza umalize chuo, mapenzi yapo tu na pisi zipo nyingi na mbinu utapata ukishamaliza shule..Miak 22 na pesa ipo
Wajumbe kijana mbona kama pesa ya HESLB inamdanganya πMiak 22 na pesa ipo
Pesa ipo kiasi gani?Miak 22 na pesa ipo
Anavimba na mkopo wa HESLB, kijana anahatari sana halafu hapo ukute ni 20% tu πngoja atarudi hapa na uzi mrefu kama kamba
Chuo bata hajui yeye ndiye huyo bataAnavimba na mkopo wa HESLB, kijana anahatari sana halafu hapo ukute ni 20% tu π
Inaonekana kijana haudhurii vikao.Chuo bata hajui yeye ndiye huyo bata
Kijana Masikini uje utoe nenoWajumbe kijana mbona kama pesa ya HESLB inamdanganya π
Intelligent businessman Edo kissy dosho12 Selikavu Nomadix
Aeleze namna alivyofilisika πKijana Masikini uje utoe neno
Shukrani kiongozi kwa kunikumbuka kuwa ni miongoni mwa watu wenye ujasiri wa juu kwenye hii sekta, lakini kwa sasa nina wenge la usingizi naweza kumshauri pumba ngoja nimwite huyu Binti wa zamani aje kumpa mawili matatu mimi nitarudi asubuhi.Kijana Masikini uje utoe neno
Habari za songea mkuu?Una umri gani? Pesa je? Em tuanzie hapo kwani.