Inashangaza kidogo mtu kutokujua hapa nipo sehemu sahihi au bado, nimefika au badoMay be inamtosha?
Maana hata yeye mwenyewe hana uhakika kama anakosea kiasi amekosa jibu akaona aje kuuliza humu,ila kwa vyovyote asichekwe ni maisha tu.
njoo kwangu utakula na kusaza.Mimi sijawahi kuwa na uhakika wa kula since day I, am enough mazee
Sitaki vya watu miminjoo kwangu utakula na kusaza.
Hizi ndo kauli za vijana wa kitanganyika, ndo maana hamfanikiwi. Ubishoo mwingi wakati njaa zinawauma!Sitaki vya watu mimi
Tamaa kusema sitaki cha mtu? HahahahahjHizi ndo kauli za vijana wa kitanganyika, ndo maana hamfanikiwi. Ubishoo mwingi wakati njaa zinawauma!
Hata ukisaidiwa ukapewa kazi unageuka mwizi unatokomea na hela.
Bora kumsaidia nyani atakukuna mgongo kuliko kumsaidia kijana wa Kitanganyika.
Ubishoo, tamaa, ujuaji, wizi, ujanja ujanja na utapeli ndo tabia zao.
Cc: secretarybird Monetary doctor Poor Brain
View attachment 3458940
Inaumiza mno aisee kijana wa JF 28 kuingiza 3000 kwa siku, hapo hapo anunue bando aangalie mambo ya polepole , hapo hapo ale,