Aisee siku zinavyozidi kwenda ndipo watu wanazidi "ku-work for less and less"

May be inamtosha?

Maana hata yeye mwenyewe hana uhakika kama anakosea kiasi amekosa jibu akaona aje kuuliza humu,ila kwa vyovyote asichekwe ni maisha tu.
 
May be inamtosha?

Maana hata yeye mwenyewe hana uhakika kama anakosea kiasi amekosa jibu akaona aje kuuliza humu,ila kwa vyovyote asichekwe ni maisha tu.
Inashangaza kidogo mtu kutokujua hapa nipo sehemu sahihi au bado, nimefika au bado

Ila kama ulivyosema kama hajui inamaanisha inamtosheleza
 
Sitaki vya watu mimi
Hizi ndo kauli za vijana wa kitanganyika, ndo maana hamfanikiwi. Ubishoo mwingi wakati njaa zinawauma!

Hata ukisaidiwa ukapewa kazi unageuka mwizi unatokomea na hela.

Bora kumsaidia nyani atakukuna mgongo kuliko kumsaidia kijana wa Kitanganyika.

Ubishoo, tamaa, ujuaji, wizi, ujanja ujanja na utapeli ndo tabia zao.

Cc: secretarybird Monetary doctor Poor Brain
 
Tamaa kusema sitaki cha mtu? Hahahahahj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…