FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Weupe wakali 😎Wakali au weupe?
Hongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Weweeee🤣
Kuna weupe ila sio wakali na kuna weusi wakaliWeupe wakali 😎
Na hapa ndipo wasukuma huwa wanashindwa kutofautisha.Wakali au weupe?
Msukuma akisema mwanamke mzuri una mpuuzia tu mda mwingine unakuta ni mweupe tu wakawaida sana🤔Na hapa ndipo wasukuma huwa wanashindwa kutofautisha.
Kiuno nyigu ndio kiko vipi? Maelezo bila picha ni matumizi mabaya ya bandoHongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Weweeee🤣
Wanawake weupe labdaSogea kondoa ufute kauli
Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.Upo sahihi mkuu, niliwahi kuwa na demu wa Itigi 🙌 aisee yule demu ni 🔥 umbo kali, sura mzuri, rangi chocolate
Kondoa Kuna weupe halafu Kuna wengine Wana rangi kama kijivu pale ni kwikwi nywele hadi mgongoni unaishika kama unakimbiza farasiWanawake weupe labda
Sina la kusema mana cjawah kuwa na demu wa Kigoma 😎Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Uganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sanaUkipata nauli Tembelea. Uganda kwa Museven baada ya hapo utabaki kutafuta hela tu na sio wanawake