Naunga mkono hoja yako, first lady ajae wa chama yuko hivyoNimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Safi sana bwasheeNaunga mkono hoja yako, first lady ajae wa chama yuko hivyo
Cheupe lakini bwashee 😁 🦅Safi sana bwashee
Vizuri pia bwashee, kipenda roho hula nyama mbichi bwasheeCheupe lakini bwashee 😁 🦅
Nyama mbichi hapana bwashee, nita pika au kuichomaVizuri pia bwashee, kipenda roho hula nyama mbichi bwashee
Hii post yako nimeshaIscreenshot kwa Matumizi ya baadae .
hana takoHongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣
Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
View attachment 3399908