Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

Uganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sana
MashaAllah
Inatokea mmoja mmoja kujaaliwa kuwa complete package, wengine kina sie mupe muruke 😅
 
Uzuri wa nje hauna thamani kama ndani kuna ombwe.

Kiuno nyigu kinaweza kubeba akili nyigu?
 
Sema wana vaa mikato flani hivi , usipo kuwa makini unaweza nyetuka live.
Nipo huku uganda mashariki yaani wadada wa kiganda wanavaa uchi halafu nikawaida kabisa wala hawashangai, tumejikuta kuanzia wadada wa kitz na wanaume wote tunabaki mdomo wazi. Halafu kuhusu uzuri kuna maeneo na maeneo kunabaadhi ya sehemu ambazo hakun interaction sana kunapisi mbovu vibaya mno. Kabila la wanyankole pisi zimenyooka vibaya sana yaani ni wazuri hatari
 
Back
Top Bottom