Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
Tuma pichaNipo huku uganda mashariki yaani wadada wa kiganda wanavaa uchi halafu nikawaida kabisa wala hawashangai, tumejikuta kuanzia wadada wa kitz na wanaume wote tunabaki mdomo wazi. Halafu kuhusu uzuri kuna maeneo na maeneo kunabaadhi ya sehemu ambazo hakun interaction sana kunapisi mbovu vibaya mno. Kabila la wanyankole pisi zimenyooka vibaya sana yaani ni wazuri hatari