Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

Kiukweli hakuna MTU ambaye angependa kuzaliwa mweusi Ila lazima ujikubali .

Wanawake wenyewe wanajua huu ukweli.

Rangi ya mtume inapendwa dunia nzima
Kwaio mkuu unataka kusema rangi nyeupe au nyeusi.

Rangi nyeupe ndio pendwa hope ?? itakua kweliii maana hata wadada wengine huamua kutumia vidonge ama mkorogoo kuusaka weupe wa dukanii
 
Kwaio mkuu unataka kusema rangi nyeupe au nyeusi.

Rangi nyeupe ndio pendwa hope itakua kweliii maana hata wadada wengine huamua kutumia vidonge ama mkorogoo kuusaka weupe wa dukanii
Rangi nyeupe inapendwa Sana na inawindwa Sana , sema Kama unavyojua ukienda mawindoni ukikosa kwale hauwezi kurudi mikono mitupu utarudi hata na bundi
 
Kondoa Kuna weupe halafu Kuna wengine Wana rangi kama kijivu pale ni kwikwi nywele hadi mgongoni unaishika kama unakimbiza farasi
Kondoa kuna wanawake wazuri wajameni ni hatari.

Wale watoto wa kirangi ni balaa tupu ni weupe,wazuri, nywele hadi zinafika makalioni.

Nchi hii kama hujafika Kondoa usihitimishe kusema kuna wanawake wazuri.
 
😁😁😁😁

Bundii

Haaahaa ngoja nimwitee min -me
Kiukweli sisi wanaume tunapenda wan awake wazuri weupe umbo namba nane Ila Kama unavyojua ukishakosa unabidi kuruka na aliyepo

Hata wao wanawake wanapenda wanaume mashabibi weupe watanashati Ila wakikosa utasikia nataka tall , dark hizo huwa ni sungura sizitaki mbichi
 
Yes zipo njema Ila Mimi mwanamke akiwa mweusi ananikata stimu

Napenda chocolate color au white iloyosimama Kama Mobeto
Kwa kweriii ukiwa hujazoea ku date na wanawake black wa kijaluo ama wanao tokea mkoa wa Mara

unapata tabu Sana kupata hisia nae ama stimu nae hao ndio chapa ilale kuwa zoea zoea inachukua mudaa sana maana wengi wetu tumezoea Rangii nyeupeee
 
Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Kigoma ipi mkuu?

Hii yenye wanawake weusi wafupi kama mbilikimo wa msitu wa Congo?

Halafu sijui kwanini pisi nyingi za Kigoma zinatembea miguu imepishana kama anaenda upande.

Singida, Kondoa na Manyara ndiyo top kwa kuwa na wanawake wazuri nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…