Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

sema Kama unavyojua ukienda mawindoni ukikosa kwale hauwezi kurudi mikono mitupu utarudi hata na bundi
Nimecheka kwa sauti kubwa hadi nimejishtukia mkuu.

Eti utarudi hata na bundi mawindo yakiwa magumuπŸ˜†
 
Ukweli mchungu
 
Shida ya Kazi za kijijini zipo njema Ila zimezubaa sana ukiwa nayo inashindwa kukupa positive vibes
Kuna dada mmoja nilikutana nae AISEEEE Kuna style za sex mikao ambayo haijavumbuliwa trust me for sure.

Namkumbuka Christer tulikua tuna vumbuzii zetu Ila wengine uki apply mnajikuta mmeshindwa huo mkao noma Sanaa
 
Kwamba wanawake wanampenda Manara kutoka moyoni ila wanaona kabisa atawa outshine, na wanaume aina ya Jux kupata dem mkali ni kama zali au sio mwanetu
 
Kwamba wanawake wanampenda Manara kutoka moyoni ila wanaona kabisa atawa outshine, na wanaume aina ya Jux kupata dem mkali ni kama zali au sio mwanetu
Kwahiyo mkuu umehitimisha kwamba Manara ni mweupe na Jux na mweusi?

Kwamba Jux anaweza kugombaniwa na pisi kuliko Hemed PhD kwa mfano?

Point of correction,Manara sio mweupe sitaki uniulize ni rangi gani utaniingiza kwenye dhambi.
 
Kwamba wanawake wanampenda Manara kutoka moyoni ila wanaona kabisa atawa outshine, na wanaume aina ya Jux kupata dem mkali ni kama zali au sio mwanetu
Ukiwa mwanaume mweupe huhitaji sana kuwa na mavumba na bado utaopoa totoz za maana.

Lakini ukiwa black rangi ya oil chafu hakikisha mfukoni upo vizuri ndiyo utanasa pisi kali na utasifiwa sana hata sifa ambazo huna.
 
Kuna dada mmoja nilikutana nae AISEEEE Kuna style za sex mikao ambayo haijavumbuliwa trust me for sure.

Namkumbuka Christer tulikua tuna vumbuzii zetu Ila wengine uki apply mnajikuta mmeshindwa huo mkao noma Sanaa
Wadada wanapita kimya kimya wachukua notesπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwahiyo mkuu umehitimisha kwamba Manara ni mweupe na Jux na mweusi?

Kwamba Jux anaweza kugombaniwa na pisi kuliko Hemed PhD kwa mfano?

Point of correction,Manara sio mweupe sitaki uniulize ni rangi gani utaniingiza kwenye dhambi.
Ondoa Manara alafu weka Steve Nyerere basi.
Anyways, hizi ni arguments za kifala kabisa mzee mwenzangu. Silaha ya mwanaume tangu enzi na enzi ni Pesa, mali pamoja na mamlaka. Vinginevyo ndo mnaanza kutuletea nyuzi kama za yule member anaitwa haszu
 
Ndizi mbona mbeya wasifanye hivyo bwashee
Ndizi mbona mbeya wasifanye hivyo bwashee
Mkuu Mimi mpaka natoka Bukoba sikuwa nimefatilia Sana Ila nilipata hizo habari kwa wadau.

Kwakuwa Mimi sijawaiga kuruka na wahaya.

Nyie mliojaribu mnaweza kuwa na majibu sahihi.

Kuna kipindi kilikuwa kinaitwa Mtembezi alikuwa Ana host jamaa anaitwa Nugazi kilikuwa kina hoji watu mbalimbali kuhusu utamaduni .

Ndo nilimuona yule Mtangazaji akiwa Bukoba

Alikuwa anamuhoji mama MTU mzima akasema kumwaga maji au Kama mnavyoitwa vijana katetero inachangiwa na vyakula Ila akasema mwanaume akichezea Kinembe cha mwanamke kwa kugongesha uume wake pale katika kinembe au (criterion) inapandisha hisia na kupelekea Kumwaga maji.

Alielezea kuwa maji ya katerero ikiwa utafanya sex na muhaya na haujafanikiwa kumpiga katetero utakuwa umefeli vibaya .


I think that was 2019 if I'm not mistaken . nilikuwa natazama clouds


Ila nyie mliongia Field na ambao mtembea na makabila tofauti mnaweza kuwa na majibu sahihi.
 
πŸ˜† mobeto hapo singida kwa jamaa , unaweza beba Lori nzima , uwe na pesa ya kuwanunulia ndala tu na madera sijui vijoraπŸ˜…
Huyo anayetaka rangi ya mobeto anajua anapaka nn πŸ˜‚

Maake hakuwa mweupe km sasa,
 
Ondoa Manara alafu weka Steve Nyerere basi.
Anyways, hizi ni arguments za kifala kabisa mzee mwenzangu. Silaha ya mwanaume tangu enzi na enzi ni Pesa, mali pamoja na mamlaka. Vinginevyo ndo mnaanza kutuletea nyuzi kama za yule member anaitwa haszu
Wanaume hatujisifii rangi au uzuri niseme,

Ila wanawake walio wengi wanatamani hao wanaume weupe, fanya tafiti

Mm cheusi mangala najikubali aseeh πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…