Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

Ila kitu imetulia, unakuwa unatoka nayo kwenye mialiko maalumu ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Ukipita wewe umepita, hakuna mfanano wala sare sare kama hizi zingine.​
Alafu magari kama haya yana resale value nzuri sanaa.

Alafu gereji ni kugusa gusa tu mara moja moja

Pia kwa bara bara zetu hizi zenye mapengo wewe unapita kama maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…