Ndio wapi huko mkuu nije kuwaona wenzanguNjoo kwenye corporate world huku uone vijana wadogo wasukuma hizo ndinga fresh tu
Hakuna haja ya kuponda kitu ambacho huwezi kuki afford...labda kama unayo kwako kama hayo na mengine yanayozidi value ya hayo..Watanzania ni kundi la watu wenye kila aina ya afya akili kosa tu aone kitu kisicho chake kichaa kinaruka🤣🤣🤣
Ndiyo kiongozi, nisingewahi achana na Marry kama ningepata huu mkoko walau siku moja moja maana ningekuwa natimba nao kwao.Mkuu kwani sijawahi kukuonesha hiyo 😁
Huo mkoko ukienda nao kwao wenyekiti wa mtaa watakukimbilia maana watajua umeenda kukagua miradi 😂Ndiyo kiongozi, nisingewahi achana na Marry kama ningepata huu mkoko walau siku moja moja maana ningekuwa natimba nao kwao.
6.2 Liter hilo gari v8 engine..
Ila kweli ushuru wa kuingiza gari Nchi hii ni wa hovyo sana!! Uko juu sana Kama vile kukomoana!! Nahisi hii rate iliwekwa zamani enzi za Nyerere ili ku limit watu wengi binafsi wasimiliki magari . Hiyo kodi inabidi ibadilike kulingana na maisha ya sasa. Hivi sasa gari sio anasa tena, ni kitendea kazi. Serikali iangalie namna ya kupunguza kodi hii ili watu wengi zaidi wamiliki magari. Ni kodi yenye fikra duni za kimaskini ambazo haziendani na Tanzania ya sasa.Hii inawezekana kumilikiwa na Kila mtanzania Tatizo ni Ccm. Gari ya milioni 4 ushuru milioni 27.
Hii iliyowekwa hapa ni ford raptor.. kama ya huyo wa kwenye kikoba mwenzenu kwa mbele ipo hivi.. basi hicho kikoba ni watu wazito...Kuna dada wa kikobani anaendesha hii..mupyaaaa
LamomyHii iliyowekwa hapa ni ford raptor.. kama ya huyo wa kwenye kikoba mwenzenu kwa mbele ipo hivi.. basi hicho kikoba ni watu wazito...
![]()
Imebidi ni download kweli chuma imetulia
Am sorry lakini nimeongea uhalisia
😂😂😂Hii inawezekana kumilikiwa na Kila mtanzania Tatizo ni Ccm. Gari ya milioni 4 ushuru milioni 27.
Kuna ujuaji mwingine kama huu wa kizamani sanaMkuu unakaa kimanzichana eeh....nilipita nalo asubuh itakuwa umenion 😁
Yeah, linanisaidia sana hilo gari kwenye vibarua vyangu vya saidia fundi.. kubeba tofali..
Nje 102 MBei yake ni M.204 hapa Bongo.
Kinatamanisha sanaImebidi ni download kweli chuma imetulia
5km/L hapana aisee