Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

Hii inawezekana kumilikiwa na Kila mtanzania Tatizo ni Ccm. Gari ya milioni 4 ushuru milioni 27.
Ila kweli ushuru wa kuingiza gari Nchi hii ni wa hovyo sana!! Uko juu sana Kama vile kukomoana!! Nahisi hii rate iliwekwa zamani enzi za Nyerere ili ku limit watu wengi binafsi wasimiliki magari . Hiyo kodi inabidi ibadilike kulingana na maisha ya sasa. Hivi sasa gari sio anasa tena, ni kitendea kazi. Serikali iangalie namna ya kupunguza kodi hii ili watu wengi zaidi wamiliki magari. Ni kodi yenye fikra duni za kimaskini ambazo haziendani na Tanzania ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…