Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

Hii iliyowekwa hapa ni ford raptor.. kama ya huyo wa kwenye kikoba mwenzenu kwa mbele ipo hivi.. basi hicho kikoba ni watu wazito...
Hii yote ya nini? Mie nakagali kangu kadogo kananitosha, You Know 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…