Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

Wakishusha ushuru wamiliki wa magari wataongezeka, wakiongezeka hayo magari yatapita barabara gani?
Mwendokasi tu umewatesa watu kwa miaka zaidi ya mitano, barabara zipo lakini magari hayopo, mpaka miundombinu imeanza kuchakaa
 
Kwahiyo nchi zenye Kodi ndogo ya magari Barabara zao zimejaa magari ?
Wapi nilipoziongelea hizo nchi nyingine?
Mimi naiongelea Tanzania ambako kunachoonekana ni kijwazo ni hizo kodi kubwa. Hao wengine wana tamaduni zao na life styles zao.
 
Ila kitu imetulia, unakuwa unatoka nayo kwenye mialiko maalumu ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Ukipita wewe umepita, hakuna mfanano wala sare sare kama hizi zingine.​

Ukifika hatua ya kumiliki hiyo kitu, hautakua mtu wa mawazo kuhusu matumizi ya wese. Mwarabu kwako sio tatizo kabisa
 
Jamaa hii gari unaikubali sana, sio mara ya kwanza kuleta huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…