Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

Ukiona Pick up inakua na tank moja na sio kubwa kama haya ya hizi Ford Ranger jua consumption yake kwenye mafuta ni kawaida sana kama gari ndogo tu hizo gari za 2.2 unaweka mafuta ya laki mbili Arusha kuja Daslm na unafika dalsm mafuta yapo robo au nusu tank unamaliza mizunguko yako ukiweka tena laki mbili unafika Arusha Ahsante Ford ranger ukiwa kwenye speed kuanzia 100km/h kuendelea inakula mpaka 14km/h kwa 1L mpaka 16Km/h kwa Lita moja nyingi zinasoma odometer 200Km/h mpaka 220km/h kwa safari za usiku endesha nusu yake tu unakua salama zaidi..
 
So mkuu, hilux inaconsume wese zaidi ya ford? Au pia ina depend na aina ya hilux mstakabala na ford?
 
So mkuu, hilux inaconsume wese zaidi ya ford? Au pia ina depend na aina ya hilux mstakabala na ford?
Matumizi yao hayajatofautiana sana ingawaje Ford wapo chini zaidi sema gari zote hasa hizi pick wanajitahidi sana kupunguza kiwango cha mafuta..
 
Hiyo ford mafuta inanusa tu,sio cc 5000,ni cc 2200 tu na umeme mwingi,
 
Gls ,g wagon and amg gt 63 are the best
 
Gls ,g wagon and amg gt 63 are the best

The best by whose standards?

GLS is too big for my liking. GLS is like the X7 for BMW. That is for people with big families. I don't have a big family. So that is not the best for me.

G Wagon is like a tank. I never liked it.

GT 63, I am looking for a SUV.

I don't just buy to follow trends and what is in music videos, it has to make sense to me.

There is no "the best". There is "the best for me".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…