The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,242
- 2,544
Another Classic Fool...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ya Viwandarainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.
Hahaaa hiyo kesho utalazimika kwanza kulipia zile Kung fu nne alizokunywa jumlisha na chips mbili maana mimi ndiyo nilimshtua Msela kuwa Demu ana ukimwi uloiva na anasaka mta/watu wa kugawana nao! Nilimshauri asilipe chochote! And it's donesawa mkuu..Ila mtoto anakulalamikia humpagi hata hela ya sabuni..
Hahaha, sawa kiongozi!mkuu,huyu jamaa amefanya kosa la kiufundi.
Ulipaswa kuleta hii mada tayari ushamla.....rainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.
Majigambo tu hamna loloterainbow pub iko dodoma kwa msioijua.
kosa ulilofanya ni kudhani me nimelewa ukaniacha meza moja na demu wako ukaenda kuongea na simu muda mrefu,nimempa business card yangu na ameshanitafuta na nimemtongoza,kesho namgonga.
utanisamehe sana mwanaume mwenzangu.
M naona mda unazidi kwenda mambo yanakuwa mamboAisee! Muda bado ni mchache !